Recent content by nyalufunjo

  1. N

    Pamoja na madudu haya, mkulo kwake ni upepo tu, ...atapeta

    Tanzania inatakiwa ijipange upya, kama sisi wazee tumeshindwa, tuanze na watoto wetu kuwafundisha kwa umakini kuhusu umuhimu wa kuwa waaminifu kwa madogo na makubwa, kuwa waadilifu, kuwa accountable kwa matendo yetu, kuwa WAZALENDO na hatimaye kuipenda kwanza NCHI yetu na siyo mtu wala...
  2. N

    Regia alimkwepesha pacha wake na ajali

    Siku za mwanadamu za kuishi hapa Duniani ni chache, ni miaka 80 ikizidia sana ni miaka 90 na zimejaa taabu na mahangaiko mengi. Lakini yatupasa kujipa moyo kwa kuwa kuna maisha mazuri baada ya hapa. Kwa kupitia ukurasa huu nami natuma salaam za rambirambi kwa familia yote ya Mtema, Wabunge ,JF...
  3. N

    Diwani wa CCM Arusha aongoza maandamano kupinga posho za wabunge huku wamevaa magunia

    Mimi naona taabu sana pale ambapo mtaalamu aliyeteseka kwa miaka mingi kusomea kazi yake, na baada ya kupata ajira anaendelea kufanya kazi ngumu ktk mazingira magumu na analipwa kidogo na baada ya kustaafu analipwa mafao yasiyofaa kwa mda usiofaa baada ya kusota sana. Lakini mwanasiasa analipwa...
  4. N

    Hivi sheria hii imetungwa lini na imepitishwa na bunge lipi?

    Ndugu, Fahamu kuwa hakuna sheria yoyote inayoruhusu mwizi kurudisha alichoiba na kisha akaachiwa. Wizi ni kosa la jinai na mwizi anapelekwa mahakamani. Ukiona wezi wanasamehewa ujue tu jibu moja kuwa idara zetu husika ni dhaifu. No independent and strong institutions in Africa. Institutions are...
  5. N

    Mabomu ya Machozi yaanza kulia Mwanza

    Hiyo intelligensia ndiyo tunaitaka, siyo ileingine ya al shabib
Back
Top Bottom