Recent content by Nyakijooga

  1. N

    JamiiForums Tanzania Serikali ikiamua juu ya suala la Wakulima na Wafugaji hata kesho linaisha - Ado

    Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado anaendelea na ziara ya kijiji kwa kijiji katika jimbo lake, akiwasikiliza wananchi na kupokea malalamiko yao mbalimbali. Tarehe 24 Steptemba 2026, Mbunge huyo alitembelea Kijiji cha Mbesa ambapo wananchi walimfikishia changamoto kadhaa, hasa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kagera: Mkataba wa mabilioni ulisainiwa kujenga kingo za Mto Kanoni,lakini hakuna kinachoendelea

    Julai 2025 ulisainiwa Mkataba wa ujenzi wa kingo za Mto Kanoni, ulioko katika Manispaa ya Bukoba, Mkoani Kagera na kukabidhiwa kwa mkandarasi wa kigeni, Kampuni ya Shandon Luqiao Group Company Limited, inayofahamika kama Shandong, kwa gharama ya Shilingi bilioni 21.3. Mradi huo ni sehemu ya...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kesi ya uhaini: Lissu na Jamhuri kuwasilisha hoja za majumuisho ya mwisho (Final Submission) leo Sept 23, 2026

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu inatarajiwa kuendelea leo September 23, 2026 Mahakama Kuu kanda ya Dar es salaam ambapo pande zote za zitawasilisha hoja za majumuisho ya Mwisho (Final Submission). Hatua hiyo inakuja ikiwa ni baada ya upande wa Jamhuri pamoja...
  4. N

    JamiiForums Tanzania KERO Mbezi Juu, Jogoo, Makonde na Salasala tumekatiwa maji kwa takribani wiki moja bila DAWASA kutoa taarifa

    Ni takribani siku ya tano sasa wakazi wa Mbezi Juu, maeneo ya Makonde, Jogoo pamoja na mitaa ya Salasala hatupati huduma ya maji, huku DAWASA ikiwa haijatoa taarifa yoyote kuhusu changamoto iliyopo. Wananchi wengi wanateseka na wameanza kuzunguka na vidumu mitaani kutafuta maji, jambo ambalo...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Lissu: Kingai amesema hayuko tayari kuwa shahidi wangu kwa kuwa yeye na IGP, CDF wapo upande ambao utafurahia nikikutwa na hatia

    Lissu amesema kuwa amekutana na shahidi wake, Ramdhan Kingai, mahakamani baada ya kuitikia wito wa Mahakama, ambapo alizungumza naye kuhusu maeneo ambayo anaweza kuyatolea ushahidi. Lissu amesema kuwa Kingai amemweleza kwamba hawezi kuwa shahidi wake na kwamba hayuko tayari kufika kizimbani...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Lissu: Nimeambiwa kwamba Mashahidi wangu CDF, IGP na DCI wote wapo nje ya Nchi

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissi imeahirishwa mpaka ljumaa September 18, 2026 . Ambapo shahidi mmoja wa mshtakiwa DCI Ramadhan Kingai kutarajiwa kuanza kutoa ushahidi wake ljumaa hii. Lissu: Baada ya maelekezo ya mahakama, msajili amekuja kuniona na kuniarifu...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Tutarajie nini endapo CDF, IGP na DCI watafika Mahakamani?

    Kwanza, nianze kwa kusema kwamba nimekuwa nikifuatilia kwa karibu kesi hiyo tangu siku ya kwanza Tundu Lissu alipofikishwa katika Mahakama ya Kisutu hadi sasa, ambapo kesi hiyo inaendelea kusikilizwa katika Mahakama Kuu, huku mshtakiwa akiwa amekaa rumande kwa zaidi ya siku 400. Katika kipindi...
  8. N

    JamiiForums Tanzania DAR: Zoezi la usafi liende sambamba na uwekaji wa miundombinu ya kuhifadhia taka

    Hivi karibuni, baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumzia hali ya uchafu katika Jiji la Dar es Salaam, tumeshuhudia baadhi ya viongozi katika ngazi za Halmashauri wakianza kuchukua hatua na kuhamasisha wananchi kuzingatia usafi katika maeneo yao. Baadhi ya viongozi wameonekana wakiongoza...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Brenda Rupia amaliza kutoa ushahidi, Heche kupokea kijiti

    Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA, Brenda Rupia, amemaliza kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu. Brenda amekamilisha kutoa ushahidi wake leo, Septemba 9, 2026, baada ya kumaliza sehemu zote za utetezi wake, ikiwemo kufanyiwa...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Warioba : Namfahamu Nchimbi sio chawa

    Jaji Mstaafu Sinde Warioba amesema kwamba anamfahamu vyema aliyekuwa Makamu wa Rais, Balozi Emmanuel Nchimbi, akisema kuwa sio chawa. Ameeleza kuwa Nchimbi amekuwa akimtembelea, ambapo hupata fursa ya kuzungumza masuala mbalimbali ya kisiasa, kichama pamoja na kiuchumi. Amesema kwamba moja ya...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Fuatilia mjadala wa Jukwaa la Demokrasia: Anna Tibaijuka na wengine watapata fursa ya kushiriki

    Leo August 28 unafanyika mjadala wa Jukwaa la Demokrasia ambapo wadau mbalimbali watashiriki mjadala huo akiwe Anna Tibaijuka, Jaji Msatafu, Warioba, Jenerali Ulimwengu, Shekhe Ponda, Mwabukusi, Deus Kibamba pamoja na wengine. https://www.youtube.com/live/5ImJtCSb-bc?si=1Q3TMHRaQkG7gu1M...
  12. N

    JamiiForums Tanzania KERO Tukimaliza la Mabasi kupelekwa Stendi ya Magufuli, tuhamie kuhamishia maroli Kwala badala ya kuongeza ICD kiholela

    Kwa sasa, kwa takribani kipindi cha wiki nzima, tumeona operesheni za kuhakikisha mabasi yanaanzia kutoa huduma katika Stendi ya Mabasi ya Mbezi Magufuli badala ya kutumia stendi binafsi, hasa zile zilizopo maeneo ya Shekilango. Nimefuatilia kwa ukaribu tangu zoezi hilo lilipoanza, na kumekuwa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Siasa za figisu nani ya UWT Mbeya inadaiwa zinalindwa kwa maslahi ya Mtu mmoja na kuchelewesha maendeleo

    Siasa za figisu ndani ya Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania, UWT, Mkoa wa Mbeya, zimetajwa kuwa miongoni mwa mambo yanayokwamisha na kuchelewesha utekelezaji wa baadhi ya miradi yenye lengo la kuwainua wanawake kiuchumi kutokana na viongozi wa jumuiya hiyo na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu hajaonekana Kizimkazi Festival, ziara zake nazo zimeyeyuka, nini kinaendelea?

    Nilikuwa naangalia Kilele cha Tamasha la Kizimkazi, Zanzibar nimeona uwepo wa viongozi wetu wa juu wa nchi, Rais wa Jamhuri ya Muungano, Rais wa Zanzibar na Makamu wa Rais. Nimejiuliza Waziri Mkuu yuko wapi? Mbona hajashiriki? Mbona hakuna taarifa rasmi kuhusu yeye kushiriki kwenye tukio hilo...
  15. N

    JamiiForums Tanzania WMA: Wananchi wana haki ya kujiridhisha gesi wanayonunua ina uzito sahihi, wauzaji wawe na mizani

    Wakala wa Vipimo (WMA) umeeleza kuwa unaendelea kufanya ukaguzi wa mara kwa mara kwa wazalishaji, wafungashaji na wauzaji wa gesi nchini ili kuhakikisha vipimo sahihi vinazingatiwa. Akizungumzia suala hilo, Meneja wa Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Singida, Willie Amosi, wakati wa Maonesho ya 49...
Back
Top Bottom