Recent content by nyakenda

  1. N

    JamiiForums Tanzania Manyerere, kwa makala hii umepotea sana (Tatizo la Tanzania si Katiba mpya)

    Mbweha kabisa wewe. Manyerere humfikii kwa namna yoyote. Kosoa hoja, siyo kuropoka.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Manyerere, kwa makala hii umepotea sana (Tatizo la Tanzania si Katiba mpya)

    Sijaona wapi anapamba wakubwa. Kasema vizuri sijui kwanini akili zenu zimelala. Anachosema ni kwamba Katiba mpya pekee siyo suluhisho la matatizo ya nchi yetu, bali ni kuwa na viongozi wawajibikaji. Unaeweza kuwa na katiba nzuri kama kenya lakini ufisadi ukawa pale pale. Waulize kenya nini...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mchechu akana kulipwa mshahara wa shilingi milioni 36

    Majitu mengine siyaelewi kabisa. NHC ilipokuwa ktk hali mbaya hamkusema, sasa shirika ameliboresha mnaanza fitna. Mwacheni Mchechu achape kazi. Mnawakatisha tamaa.vijana wazalendo wanaojitoa kulitumikia taifa.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Manji: Nchi yangu hainithamini

    Mpuuzi mkubwa. Kavunja Salamander, kavunja hadi hoteli ya Etience mahali ambako tangu Uhuru wazee wetu walikaa. Sasa kaweka ndugu zake. Huyu mpuuzi kashitaki magazeti yote yanayomwandika na kuweka zuio asiguswe. Ulizia mwanahalisi, dira, jamhuri na mengine mengi. Mpuuzi, acha magufuli amnyooshe.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Manyerere, kwa makala hii umepotea sana (Tatizo la Tanzania si Katiba mpya)

    Mleta mada ndiye hajui kilichoandikwa na manyerere. Kwa ufupi, mwandishi amejaribu kuonyesha kuwa watanzania wanapaswa kubadilika kifikra na kiutendaji. Hapingi katiba, isipokuwa anasema kwa mwenendo huu wa watu kupuuza mambo, hata ikija katiba mpya itakuwa bure tu. Anahimiza watu kubadilika...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea: Ndumilakuwili mbobezi

    Kumjadili Kubenea ni kupoteza muda. Ni miongoni mwa watu wajinga kupindukia. Hili si jina lake. Mtafuteni mwenye jina hilo aliyegombea udiwani huko kimanzichana.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Magufuli, tupambane tuachane na kutegemea misaada!

    Ni mjinga tu anayedhanitunapaswa kuwanyenyekea wazungu. Miafrika mingine mijinga. Inadhani bila wazungu, hatupo. Lazima tukomae.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku matangazo ya tiba za asili na tiba mbadala

    Kuna wajinga wanafanganya watu kwa kuwapa dawa eti wafaulu mitihani! Ujinga mtupu.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania si Katiba mpya

    Hivi ukiwa na Katiba mpyana Rais aina ya Kikwete, kuna kitu hapo? Katiba itavunjwa na yeye atachekacheka tu.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kikwete yuko New York Marekani

    Alizoiba ni nyingi sana
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania si Katiba mpya

    Mweleweni mwandishi wa makala. Someni muone maudhui yaliyomo na anachimaanisha. Hoja yake ni kwamba bila watu kubadilika, hata hiyo katiba pya ni bure tu Ametoa mfano wa makontena kuibwa, unahitaji katiba mpya kudhibiti upuuzi huo? Eleweni mantiki ya makala, siyo mnashambulia tu. Kenya wana...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kigogo wa BoT azuiwa Airport kutokana na kukosa vibali vya kusafiri nje ya nchi

    Mtanzania wa kawaida, kwa mshahara wa kawaida wa haki kabisa, huwezi kwenda nje ya nchi mapumziko ukiwa na familia yako yote. Huyo ni mwizi tu.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Edward Hoseah

    Bado kuna mambo makubwa sana yanakuja.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ester Matiko ashindwa nguvu na madiwani wake

    Murisya
  15. N

    JamiiForums Tanzania Niliyoyaona leo, majambazi kuuawa ni haki kabisa

    Kova hana mpango. Anang'atuka mwezi huu wa Desemba.
Back
Top Bottom