Recent content by NYACHENDWA

  1. N

    JamiiForums Tanzania Viwango vya mishahara kwa walimu: Ualimu ni mateso

    Wadau naomba ufafanuzi kidogo, kuna mwalimu yuko daraja F Ila income tax anakatwa 172000/= na hapo yaonesha anatakiwa akatwe 135000/= je huyu mtu alalamike wapi ili kupata stahiki yake? [emoji120]
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ni ipi hatima ya Haji Manara endapo akienguliwa Yanga?

    HakiyaMungu watu mnavituko jamani kha[emoji28][emoji28]
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kapumbu anyimwa goli lake na TBC, apewa Sikaumbwe

    Hata tbc waweke figisu, si tunajua utopolo de la misukule imepigwa pumbu jana mbaya zaidi yakiwa kwenye siku zao
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Simba wapimwa corona huko Sudan na majibu yanaonyesha hawana

    Dua la kuku hilo mkuu, mnyama hafungwi hovyo
  5. N

    JamiiForums Tanzania CAF angalieni Soka la Afrika kuna kipindi Vitakuja tokea Vita

    Ili iweje chura usiyejitambua?!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu: Wabunge wa CHADEMA wa Viti Maalumu waliapishwa kwa mujibu wa Sheria na Katiba, CHADEMA isiwaguse

    Hv hata Kama ni kupenda vya ndani nadhani ni vile vnavyojitambua na sio kujaza propaganda za kijinga kama gazeti tajwa full kichefuchefu nyoo!
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu Tanzania Bara: Nani kuvaa kiatu cha ufungaji bora 2020/2021?

    Toa sarpong hapo hamna kitu huyo ni yikpe asiye na rasta
  8. N

    JamiiForums Tanzania Suala la mishahara linakuzwa mno, tuzungumzie maslahi ya watumishi kwa ujumla

    Umeandika kishabiki mno pasi kuangalia sheria ya ajira inasemaje! Hivi increments nayo ni hisani kwamba mpaka mtu aone amefurahije? Nn maana ya kitu kuwepo kwa mujibu wa sheria? Jema lipongezwe na la ugoro pia likemewe tusikae kupamba tu kama makondoo
  9. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto: Wagombea wote 18 wa ACT-Wazalendo kisiwani Pemba wameenguliwa

    Hao wenye elimu ya madrasa ni wale wa ACT TU?
  10. N

    JamiiForums Tanzania NHIF mnaumiza wanachama wenu

    NHIF ni genge la wezi Haswaa! Serikali iruhusu watumishi wa umma wajiunge namifuko watakayoona inawafaa kuliko kuibiana kweupe
  11. N

    JamiiForums Tanzania Katika hili MO anatuingizia Siasa kwenye Simba SC yetu. Tusiogope kumdhibiti

    Nyie machimpanzee jadilini namna ya kuendeleza mradi wenu wa vyura. Simba yetu tuachieni sisi wana simba tunamwelewa sana Mo hivyo msituletee chokochoko zenu
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa vyema Usalama wa Taifa wenye umri wa 20-35,wakachomekwa kama wanafunzi wa primary na sec kuzuia viboko na uchomaji wa shule...

    Aisee jitahidi sana kunoa bongo maana ulichoandika hakiendan na umri wako kifikra anyway sijajua kipimo chako cha uzalendo kwa Taifa letu
  13. N

    JamiiForums Tanzania Polisi na NEC waanza kuhofia barua za Amsterdam & Partners LLP?

    Kuna tatizo kichwani mwako maana akili timamu haiwez andika mzaha huu!
Back
Top Bottom