Recent content by Nyabitaka

  1. Nyabitaka

    Shemeji anaharibu ndoa yangu

    Pole sana ila huyo shemeji yako hafai hata kidogo na kama yuko humu ajifunze na ajue kua tabia yake hiyo hatujaipenda na wala sio sifa
  2. Nyabitaka

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Jamani leteni matokeo hayo tunasubili sana
  3. Nyabitaka

    Uncle ameozwa kwa mdada wa kazi: Anataka nimshauri

    Aaache zake kitu alikua anarukia tu alee mzigo na akileta mchezo chuo hana na maisha yatmwendea kombo
  4. Nyabitaka

    jicho....

    Kazi ipo kama unatoa mada halafu watu wanatoa jicho hivyo duh
  5. Nyabitaka

    WANAWAKE wameumbwa kwaajili ya wanaume!!!!

    Ni mpango ambao upo tangia enzi zile kwa hiyo kuibadilisha ni ngumu sana unatakiwa kuamini muumba wako
  6. Nyabitaka

    Kwanini vijana wa siku hizi wanapenda mahusiano na watu waliowazidi sana Umri?

    Yanapatikana wapi hayo majimamaz kama vp mnirushie hata moja nikaluke kwanja nalo au mnatoa stori tu
  7. Nyabitaka

    Mapenzi ya Sekondari – Sweeter Than Sweeter!

    ok lakini kwa walio wachache wametoka sec hawajadu hata one day je na hao utasema vp?
  8. Nyabitaka

    Natafuta mchumba awe Bikira

    Yupo kama uko ready nitakuonesha
  9. Nyabitaka

    Labda ni wewe fungua uone!

    Kumbe na huku mambo ni yaleyale tu
  10. Nyabitaka

    Hivi ikitokea watu wakaoana kutoka humu si itakuwa balaa!

    Si balaa wala nini mbona watu wengi tu wanakua na the same category and work status then everything goes poa, mambo ni kuelewana na kuheshimiana tu mnapokua kifamilia
Back
Top Bottom