Recent content by Nyabhurebheka

  1. N

    Jerry Muro: Urais wa Kizalendo ni mgumu Tanzania

    "Ni sawa na wana wa Israel kukumbuka MANA za kule Misri" Pamoja na unafiki wote ulioandikwa, kasome tena bible knowledge MANA zilililiwa jangwa la Sinai na wala si Misiri.
  2. N

    Skata la Escrow: PAC Ilichepuka kwa manufaa ya nani?

    Nimeipenda hii. Nafikiri hili litakuwa fundisho la watu angalau kufanya uchunguzi kwanza kabla ya kuanza kushaabikia mambo kwa kufuata mkumbo na nyimbo za magazeti. Soma, soma, soma, soma. Tafuta, tafuta, tafuta utapata ukweli na watu watakuheshimu kwa kusema ukweli siyo kupayuka tu hovyo hovyo.
  3. N

    Wanaomtetea Prof. Muhongo, jibuni maswali haya

    Duuh yaani mpaka sas haujajua kosa lake. Basi ngoja nikwambie makosa makubwa ya huyu Prof: 1) Kutompendelea Mengi ili apate vitalu vya gesi 2) Kumuondoa Mkono kwenye uwakili waTanesco ili asiendelee kulitia taifa hasara 3) Kusimamia majukumu ya wizara kwa uhadilifu na kufanikisha utekelezaji wa...
  4. N

    Wasomi vyuo vikuu Dodoma watoa tamko kuunga mkono tamko la Jumuiya ya Wanazuoni

    Chambua hoja zote za wanazuoni moja baada ya nyingine ili utuoyeshe ni kwa jinsi gani hoja zao hazina msingi na hivyo kuthibitisha uganga njaa wao. Vinginevyo wewe ndiye unayeganga njaa kwa kucheza ngoma usiyoijua. Soma, chambua na toa hoja. Rais Kikwete ana msemo wake kuwa akili za kuambiwa...
  5. N

    Wasomi waiponda PAC, wataka tume huru

    Nilipokuwa nasikia wazungu wanasema kuwa ukitaka kumficha mwafrika kitu kifiche kwenye maandishi nilikuwa nakasirika sana kwani nilijuwa wanatutukana na ni wabaguzi. Lakini naanza kuamini kuwa kuna ukweli katika hili. Jamani watanzania wezangu tubadilike kwa nini hatuwezi kusoma na kufanya...
  6. N

    Prof. Muhongo: Shilingi inayochezewa tunduni mwa choo

    Ndugu yangu Nakuunga mkono katika hili, kinachonisikitisha sana ni kuona jinsi gani baadhi ya watanzania wanavyoshabikia fitina na chuki binafsi za baadhi ya watu dhidi ya prof Muhongo badala ya kutafakali na kuchimba chanzo cha tatizo. Cha kushangaza zaidi hawa watu wanaochangia humu JF ambao...
  7. N

    Tafakuri chokonozi: Ni dengu, dengi, au ni propaganda?!

    Jamani acheni siasa hata kwenye mambo ya kitaalamu. Kwa mtu yeyote mwenye taaluma ya utabibu akisoma ulichoandika hapo juu atajua kwa hakika kuwa wewe ndiyo mwenye IQ ndogo. Ni vizuri kama haujui kitu ukatafuta kuelewa kwanza badala ya kukimbilia kwenye hitimisho.
  8. N

    Mtanganyika anapokataa kusikia neno TANGANYIKA maana yake nini?

    Itakuletea maji, mkopo wa elimu, madawa hospitali au itakujengea barabara? kama ni asili, asili yetu sisi ni waafrika ambao kwa hiari yetu tuliamua kujiita watanzania baada ya kuachana na jina la kikoloni la tanganyika unalodai wewe ndiyo asili yako. Tutumie muda wetu vizuri kupigania mambo ya...
  9. N

    Mfa maji aliyetamani kujiokoa kwa kupanda juu ya jani linaloelea

    Ndugu zangu watanzania wezangu, kuna msemo mmoja maarufusana wa Kiswahili usemao kuwa mfa maji akiona jani la mti linaelea majini ataogeleaili apande juu yake kwa matumaini kuwa linaweza kumuokoa. Kwa hakika siyokwamba huyu mtu hajui kuwa lile ni jani, bali ni kwa sababu ya kuchanganyikiwakiasi...
  10. N

    Omari Mapuri, Ngwilizi, na Kavishe ndo pekee waliobaki wanaoufahamu Muungano - S.Sitta!

    Sishangai kwa nini unaitwa Abunuas, kwani kufikiri kwako kumekaa kama hekaya za abunuas. Hebu niambie ni wananchi wa wapi wameamua kuwa wanataka muunganao wa serikali tatu? watu 500,000 waliohojiwa na tume ya Warioba wanaweza kukilisha watu milioni 45? Inaonekana hata elimu ndogo ya kanuni za...
  11. N

    KIGWANGALLA apendekeza Rais Asitishe Bunge Maalum la Katiba ili Kukubaliana Kuhusu Muundo Muungano!

    Nafikiri wewe unayesema kuwa UNAJUA ndiyo haujui kabisa. Daktari ameuliza swali nzuri kabisa ambalo kama ungekuwa unajua ungejibu na watu tungekuelewa. Katika utafiti wowote ni lazima ueleze ni njisi ngani ulivyofikia uamuzi wa kuchukua idadi fulani ya watu/vitu (sample size) ili kuwakilisha...
  12. N

    Njia ya Lowassa kwenda Ikulu imejaa miba na visiki

    Siyo siri hauitaji kuwa na PHD kupambanua kuwa Lowasa hafai kuwa Rais wa nchi yetu. Tanzania itakuwa nchi ya kwanza duniani kumpatia mtu urais kwa njia ya kura ambaye amejaa tuhuma za ufisadi zilizo wazi na ambazo hazijawahi kukanushwa au kusafishwa na chombo chochote kile cha kisheria hapa...
  13. N

    JK awapuuza Kinana na Nape: Mawaziri mizigo wapeta

    Tukiacha ushabiki wa vyama vyetu vya siasa na kusimama kwenye mada ya msngi ya matumizi mabaya ya majukwaa, hili ni fundsho tosha kwa wale wote wanaodhani kuwa siasa ni kuongea chochote kile ili mradi watu wakupigie makofi. Watu wanatakiwa kujua kuwa kwenye siasa pia tunatakiwa kujenga hoja...
  14. N

    Tofauti na CHADEMA, CCM ukikosea unapewa nafasi ya kujieleza, soma yanayojiri Dodoma

    Swali moja kwako bwana Lukosi, Je wale waliokuwa wanapiga kelele kwenye majukwaa na kuwambia watu kuwa mawaziri fulani na fulani ni mzigo kabla hata hao mawaziri hawajasikilizwa watachukuliwa hatua gani? Hizi ndizo aina ya siasa zilizojaa ndani ya CCM watu wanatafuta umaaarufu kwenye majukwaa...
  15. N

    Nape Nnauye: Kuhojiwa kwa mawaziri kamati kuu ya CCM hakukwepeki

    Kosa lako hapo Nape ni moja, nalo ni kutangaza kwenye jukwaa kwamba hao mawaziri ni mzingo kwa serikali ya chama chako. Hapo ndipo ulipokosa ustaharabu, laiti kama usingetaja hayo maneneo ukaishia kuwambia wananchi kuwa tutawaita mawaziri husika kwenye vikao vya chama watoe majibu ya tuhuma...
Back
Top Bottom