Recent content by nyabhera

  1. nyabhera

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: Hajawahi tokea Rais Muislam, Makamu asiwe mkatoliki, na vice versa; wakatoliki hawapo tayari

    Mimi si mkatolic. Ila Kwa Sasa tunahutaji Makamu mkatoliki Kwa sababu hadi sasa inaonesha kunashida kubwa Ikulu haiwezekani senior leaders zaidi ya kumi wote Wakristo wawe ni shida ndani ya miaka 7 tu. Ndungai, Tulia, Kabudi, Biteko, Mabula, Lukuvi, Mipango na nk. Mkatoliki ana advantage ya...
  2. nyabhera

    JamiiForums Tanzania Msaada: Matibabu ya homa ya nguruwe

    Haya buana
  3. nyabhera

    JamiiForums Tanzania Msaada: Matibabu ya homa ya nguruwe

    Kaka kama ulikuwepo Jana kuna Nguruwe wangu mkubwa sana ana nzao 3 hapungui kg 90 (Nyama) ukitoa utumbo na mafuta. Namuita jamaa ananiambia bei gani mimi nikasema anipe angalau 500k, yeye ananijibu ana 100k. Kidogo nimtukane baadae nilipata wa 230k nikachukua kwa bei ya soko la kawaida...
  4. nyabhera

    JamiiForums Tanzania Msaada: Matibabu ya homa ya nguruwe

    Nimepokea
  5. nyabhera

    JamiiForums Tanzania Msaada: Matibabu ya homa ya nguruwe

    Thanks.
  6. nyabhera

    JamiiForums Tanzania Msaada: Matibabu ya homa ya nguruwe

    Kwa siku 4 nimepoteza kwa kifo Nguruwe wakubwa 4. Nimechinja wenye dalili 5. Solo hakuna limepolomoka vibaya jitihada zangu za miaka 3 zinakufa mbele ya macho yangu. Nabaki na madeni tu nilitegema kulipwa nikivuna kundi wa wadogo around July. Nashukuru Mungu Kwa kila jambo. Amen
  7. nyabhera

    JamiiForums Tanzania Msaada: Matibabu ya homa ya nguruwe

    Naishi Mwanza. Shida imenianza tarehe 3/04/2026. Alianza mmoja hali anasinzia akatapika nikamchinja kesho yaka akaanza wingine nikamchinja. Kukapoa kama siku 4 hivi. Leo tarehe 08.04. 2026 mmoja mwenye mimba imetoka pia alikua mchovu tangu jana. Wawili wadogo wamekufa ghafla Naona vita...
  8. nyabhera

    JamiiForums Tanzania Hezbollah waliendaga wapi? Netanyahu aongezwe kwenye biblia

    Imepaki Historia mashariki ya kati no more Hizbolah
  9. nyabhera

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msemaji wa M23, Willy Ngoma auawa kwa shambulio la Droni

    Kifo ni haki yake Kwa malipo ya mauaji na madhira aliyosababisha Kwa jamii za watu wa DRC
  10. nyabhera

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

    Kweli nimeuzwa na video ya Kanali wetu wa JWTz huko DRC akisachiwa na kujisalimisha kwenye Polisi wa Rwanda. kikosi kilichopelekwa kupambana na M23 wote wanapaswa kuvuliwa vyeo wawe private
  11. nyabhera

    JamiiForums Tanzania Bila Kanda ya Ziwa hamna Ushindi 2025

    Tabora and Katavi is Sukumaland in extension. And Sukumaland is the core of lake Zone. Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
  12. nyabhera

    JamiiForums Tanzania Bila Kanda ya Ziwa hamna Ushindi 2025

    Political, economically and Socially Tabora na Kativi ni attachment ya kanda ya ziwa. Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
  13. nyabhera

    JamiiForums Tanzania DRC: Yalipuka mapigano makali kati ya waasi wa M23 dhidi ya Wazalendo

    Tangu tarehe 01.10.2023 kumekuwapo na vuguvugu la muungano wa vijana wapiganaji kuvamia ngome za waasi wa M23. Vijana hawa wanaojiita wazalendo ni mchanganyiko wa vikundi vidogo vidogo vya waasi na wanamgambo nje jeshi la nchi. Wengi ni vikundi maarufu kama Mayi Mayi na Nyatura. Wazalendo...
  14. nyabhera

    JamiiForums Tanzania Uganda yavamia ardhi ya Sudan ya Kusini na DRC

    Laana ya kupenda kuhamisha mipaka na kupanua ardhi yao bado inaiandama nchi ya Uganda. Tangu October 1, 2023 kumekuwepo na tafurani ya mipaka kati ya Uganda na Sudani ya Kusini na DRC. Hoja zinataja kuwa bila mawasiliano yoyote Uganda wamehamisha alama za mipaka na kuingia katika mataifa hayo...
  15. nyabhera

    JamiiForums Tanzania Kamanda Kamuhanda kuhamishwa Iringa, yadaiwa chanzo ni mauaji ya Mwangosi!

    Maisha ni fumbo juzi juzi nikakutana kamanda Kamuhanda amesitafu anaishi Mwanza. Nikacheka sana. Kachoka ana Harrier Imechoka balaa. Hah Tuishi kwa wema na upendo. Maisha ni safari tu
Back
Top Bottom