Recent content by nusuhela

  1. nusuhela

    JamiiForums Tanzania Laptop inauzwa: MacBook pro 2019

    Hahaaaaa
  2. nusuhela

    JamiiForums Tanzania Hayati Mkapa: Makosa yangu yalisababisha mafisadi kujenga ngome ndani ya Chama cha Mapinduzi

    Mtu pekee aliyejitoa kupoteza uhai kwaajili ya watanzania ni Magufuli
  3. nusuhela

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Chivayo, mke wake na wengine 3 kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Tanzania

    Kifo hakina mwenyewe. Hata ungemiliki dunia, utakufa tu
  4. nusuhela

    JamiiForums Tanzania Gravity ni Nini? Imetokea Wapi?

    Amechanganya lugha. Kiswahili na english haisomeki kitaalamu
  5. nusuhela

    JamiiForums Tanzania Usisafiri na familia yako yote kwenye usafiri mmoja, ni hatari sana

    Bora kufa pamoja lakini sio kuwa na vilema vya kudumu pamoja
  6. nusuhela

    JamiiForums Tanzania Polisi Wang’oa namba za magari, madereva waliogoma kuondoa mabasi Stendi ya Magufuli

    Sio lazima kuchangia kila kitu. Umeandika uharo mtupu
  7. nusuhela

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa madereva wa mabasi ni haramu hawatakiwi kuchekewa

    Sitaki kuamini kwamba eti wanataka uhuru wa kuvunja sheria. Lazima kuna kitu inatakiwa busara kutatua hili
  8. nusuhela

    JamiiForums Tanzania Waandaaji wa bongo flava 30 wamlipia dudu baya faini ya tsh milioni 3 ya basata

    Huu uzi tutajua mengi ambayo hatukuyaona
  9. nusuhela

    JamiiForums Tanzania Makatibu wapya CCM: Waislam wako 21, Wakristo 11. Hali inatisha sanaaaaa!

    Watajuana wenyewe
  10. nusuhela

    JamiiForums Tanzania HAKUNA CCM CHAMA CHA SIASA BALI CCM DOLA

    Dawa ni moja. Wanasiasa wote wawe chama kimoja cha mapinduzi (ccm) alafu waanze kupambana wakiwa humo ili vyombo vya usalama vishindwe kuwa upande mmoja
  11. nusuhela

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua maamuzi ya kisomi yalivyojaa ujinga njoo uone haya ya TFF

    Unalalamika au unatoa maoni?
  12. nusuhela

    JamiiForums Tanzania Watanzania wahoji watoto wa vigogo kumiliki diplomatic passport baada ya Teresa kushare passport akiwa airport

    Uzuri ni kwamba madaraja ya hao kuwa vigogo ni nyie wenyewe.
  13. nusuhela

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ufugaji wa kuku ni changamoto sana.Yote haya tunayapata kwa sababu serikali haijali madawa mengi ni feki!

    Hiyo ndo changamoto kwa kuku wanaokaa muda mrefu. Pumba inazalisha mafua makali
Back
Top Bottom