Recent content by nurdin33

  1. nurdin33

    JamiiForums Tanzania Wana CCM tushikamane kipindi hiki KIGUMU, yatapita tu!

    Chunguza ama9 mchumguze asiye ipemda ccm utangundua kitu.kama ni mzee ujue kafukuzwa kz kama ni kijana ujue ni mpiga debe na kama ni mtu wa makamo basi jua huyo ni mvivu balaaa cc ni jembe na nyundo hiyo ni falsafa yao wavivu sasa wanavyo ikokotoa eti nyundo nikuponda kichwa hadi ufe najembe...
  2. nurdin33

    JamiiForums Tanzania Wana CCM tushikamane kipindi hiki KIGUMU, yatapita tu!

    Sapoti ya kicheko ni bora kuliko kusaidiwa kilio 25.10.2015 nazani sio mbali tumuombe mungu.
  3. nurdin33

    JamiiForums Tanzania Wana CCM tushikamane kipindi hiki KIGUMU, yatapita tu!

    Lowassa kitu gani alishindwa mrema na hakuwa na kashifa ngoja kampeni zianze utafurahi mwana ccm mwenzangu.
  4. nurdin33

    JamiiForums Tanzania Mkakati No.1 wa safari ya mabadiliko nje ya CCM umefanikiwa! Imekuwa certified 100%

    Tz nasiasa za chuki haiwezekani komoa nikukomoe mwisho wasiku ningejua huja yakishatokea plz wote kwa pamoja tunakiu ya mabadiriko lakini si kwaku danganya nafsi zetu. Mfano mdogo kumbe hela haramu ni kwa upande mmoja?
  5. nurdin33

    JamiiForums Tanzania Am looking for friends

    Kweli maisha ya siasa ni hatari sana bora ifikike oct25 ibaki story 2 wameiba. Au wamekomeshwa.
  6. nurdin33

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ahudhuria maonesho ya Nane Nane mkoani Lindi

    Labda niseme hili ukiona mwanaume anatoka na taulo chumbani kwa mama kubali huyo ni baba yako.
  7. nurdin33

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ahudhuria maonesho ya Nane Nane mkoani Lindi

    Lowassa ni mtu naki kwete ni mtu soo haipendezi kumkashifu mtu wala kumtusi mtu matusi siuchangiaji mzuri na kebehi hua inatoa hukumu nzuri au mbaya kwa mchangiaji
  8. nurdin33

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ahudhuria maonesho ya Nane Nane mkoani Lindi

    Wengine mnakera ila ndo miono ya wavivu tz.ok bado ni rais kuna haja ya kumtazama rais jk.
  9. nurdin33

    JamiiForums Tanzania Zinduka: Siasa inanunua watu, Polepole naye kanunuliwa

    Duuuu hiyo kali
  10. nurdin33

    JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya Samsung galaxy note na Huawei P7?

    P7 ndo kilakitu kwa mimi .
  11. nurdin33

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole, tumekuletea Lowassa badala ya Lipumba na Slaa!

    %ngapi ndugu coz umetoa data zakisomi ila jamaa zetu sijui bhana.
  12. nurdin33

    JamiiForums Tanzania Jambazi akamatwa akiiba Ngarenaro Arusha

    Ukweli utafahamika oct25
  13. nurdin33

    JamiiForums Tanzania GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Jaman kinawauma nn kila mtu yupo huru
  14. nurdin33

    JamiiForums Tanzania TIMU Magufuli tukutane hapa

    Haina tatizo cici ikulu2
  15. nurdin33

    JamiiForums Tanzania Lowassa apata wadhamini zaidi ya Million moja laki tatu, Aweka rekodi mpya kwa wagombea urais

    Pesa lnanguvu kushinda nia ya thati.
Back
Top Bottom