Recent content by Nurdin said

  1. N

    JamiiForums Tanzania Tunanufaika vipi na walimu wa kigeni wanaokuja kusaidia nchi za afrika

    Wadau natumai mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila siku, katika mwaka 2014 tumeshuhudia wageni wengi kutoka nje ya nchi wakija hapa nchini kwaajili ya kufundisha watoto wa taifa la kesho wa tanzania. Na katika maeneo mengi ya mikoa ya tanzania watakuwa wameshuhudia hili na wanaliona katika...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Omar Nundu (mbunge) awasha moto Tanga

    twende na uhalisia na tuwe makini katika kuitafsiri nchi yetu tambua kuwa wabadhirifu wachache ndo wanaturudisha nyuma ila mpaka sasa nundu,kangi lugola,kigwangala,nchemba,lekule leiza wanabaki kuwa wazalendo
  3. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Omar Nundu (mbunge) awasha moto Tanga

    ndugu mwembekiuno NUNDU BADO TUNAMHITAJI TANGA URAIS SI RAHISI
  4. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Omar Nundu (mbunge) awasha moto Tanga

    nitalifikisha ombi lako ni muhimu kuikuza tanga na hilo eneo ambalo ni pori palichukuliwa na muwekezAji ambae hajapanyia kazi jitihada zinafanyika kubadilisha matumizi.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Omar Nundu (mbunge) awasha moto Tanga

    tatizo sio 2015 na hapa sio kampeni huu ni ukweli ambao hata ww katika m eneo lako unatakiwa ufuatilie hizi pesa kumbuka ni mpango wa serikali uliokubaliwa na bunge tangu mwaka 1993
  6. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Omar Nundu (mbunge) awasha moto Tanga

    Nachotaka kukwambia bado asilimia 95 ya wananchi wana imani na nundu na wanajua aliondolewa kimakosa mbona alipokuwa rais wa anga dunia hakufanya ufisadi mnaouzungumza
  7. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Omar Nundu (mbunge) awasha moto Tanga

    Nundu mtetezi wa wanyonge tanga wanamuogopa sana maana anasimamia ukweli tanga zindabaa Pesa hizi ameanza kuzitetea tangu mwaka 2012 ila halmashauri ya jiji ndi wamekuwa na uzembe katika kutenga na hili suala ni la kitaifa na mh.rais jakaya kikwete ameagiza ikifika desemba 31 mwaka kila...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Omar Nundu (mbunge) awasha moto Tanga

    Mwana JF na Mbunge wa jimbo la TANGA MJINI MH Omari R Nundu, AMEITAKA HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA KUHAKIKISHA INAWATENGEA VIJANA NA AKINA MAMA PESA ZA HALMASHAURI ZILIZOTAKIWA ZITENGWE KUANZIA MWAKA 1993 AMBAPO KWA MKOA WA TANGA ZIMETOLEWA MIAKA MITATU TU HUKU MIAKA 18 ILIYOFUATA ZIKIWA...
  9. N

    JamiiForums Tanzania maajabu ya JK na nchi ya Tanzania

    tuwe na subra atatangaza
  10. N

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri: Nani atoke, Nani abaki, Nani aingie?

    kaka.wanatangaza saaa ngapi baraza
  11. N

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri: Nani atoke, Nani abaki, Nani aingie?

    tusubiri hivi wanatangaza saa ngapi
  12. N

    JamiiForums Tanzania Walimu waliotoa maoni kikao cha NAIBU WAZIRI Aggrey Mwanri wasimamishwa Kazi na Mkurugenzi.

    kiukweli walimu wana madai mengi ya msingi na wanahitaji kusikilizwa
  13. N

    JamiiForums Tanzania Azam tv hawana lolote

    duh vijijini.vipo
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kikwete, maisha magumu mbona umewasahau wananchi?

    jk mtu makini
Back
Top Bottom