maajabu ya JK na nchi ya Tanzania

maajabu ya JK na nchi ya Tanzania

sawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
2,752
Reaction score
932
katika hali ya kuonyesha kuwa rais wetu Jakaya Kikwete aamini kuwa mawaziri wake wanne walingolewa na bunge na mmoja kufariki dunia ,nchi ya Tanzania inaelekea kuvunja rekodi dunia kwa kukaa kipindi kirefu bila kuwa na EXUCUTIVES isiyokamilika na maanisha baraza la mawaziri,maana tunaelekea kuumaliza mwezi mmoja na wiki kama mbili bila kuwana na mawaziri wakati huo huo JK na washauri wake sijui wanachofanya huko magogoni ni kheri tumshinikize rais atangaze baraza la mawaziriau kama hakuna mtu anayemuamini avunje bunge tuludi kwenye uchaguzi mkuu only in tanzania
 
Hapo anatuthibitia kuwa Tanzania haihitaji mawaziri wengi kiasi hicho, mambo mengi yanaweza kwenda pasi ya kuhitaji uwepo wa mawaziri
 
Ameshajua hata kuwe na mawaziri wa aina gani, HAKUNA KITAKACHOBADILIKA!
 
''aamini'',''tuludi'' wewe mwenyewe mtoa hoja huaminiki kwa umakini wako.
 
si hao tu wanaopaswa kubadiliswa kuna wanasemwa kuwa utendaji wao siyo mzuri. Pia kumbuka kuwa hana kazi moja
 
Hivi hizo wizara zimefungwa?mbona kazi inaenda kama kawaida.
 
Anangojea siku akiwatangazia hao mnaowaita mawaziri na yeye anakwea pipa anakwenda ULAYA kula bata!!! Huyo ndio mkwereeee wa Msoga bwana hana noma!!!!Anaamini msemo wa " Ukikipata kitumie na ukikikosa kijutie".
 
katika hali ya kuonyesha kuwa rais wetu Jakaya Kikwete aamini kuwa mawaziri wake wanne walingolewa na bunge na mmoja kufariki dunia ,nchi ya Tanzania inaelekea kuvunja rekodi dunia kwa kukaa kipindi kirefu bila kuwa na EXUCUTIVES isiyokamilika na maanisha baraza la mawaziri,maana tunaelekea kuumaliza mwezi mmoja na wiki kama mbili bila kuwana na mawaziri wakati huo huo JK na washauri wake sijui wanachofanya huko magogoni ni kheri tumshinikize rais atangaze baraza la mawaziriau kama hakuna mtu anayemuamini avunje bunge tuludi kwenye uchaguzi mkuu only in tanzania

Tanzania mawaziri ni politicians si executives.

Wizarani executives ni makatibu wakuu.

Mwinyi alishawahi kutimua baraza zima, kazi zikawa zinafanywa na makatibu wakuu.

Not to say kwamba hakuna haja ya kuharakisha uteuzi wa mawaziri wapya though.
 
Hapo anatuthibitia kuwa Tanzania haihitaji mawaziri wengi kiasi hicho, mambo mengi yanaweza kwenda pasi ya kuhitaji uwepo wa mawaziri

hapa tulipo fika nchi inaweza kwenda hata bila RAIS.kuna faida gani ya kuwa ni viongozi halafu Nchi wanaitafuna watakavyo! kuna Mwingereza mmoja aliwahi kusema ukitaka kuwa tajiri TANZANIA unahitaji kuwa MZUNGU TU basi. ukifika huko watakuonesha wapi utapata mtaji, wapi kwa kuwekeza na mbinu mbalimbali za kukwepa kodi na mwisho utakuwa tajiri wa maana na unarudi zako ulaya kula raha.
 
Tanzania mawaziri ni politicians si executives.

Wizarani executives ni makatibu wakuu.

Mwinyi alishawahi kutumua baraza zima, kazi zikawa zinafanywa na makatibu wakuu.

Not to say kwamba hakuna haja ya kuharakisha uteuzi wa mawaziri wapya though.

Rais anadhihilisha kwa vitendo kuwa mapendekezo ya rasimu ya katiba mpya kuwa wabunge wasiwe mawaziri ni sahihi na yanatekelezeka kama tunavyoona sasa wizara zinaendeshwa na makatibu wakuu bila wasi wasi !!
 
hapa tulipo fika nchi inaweza kwenda hata bila RAIS.kuna faida gani ya kuwa ni viongozi halafu Nchi wanaitafuna watakavyo! kuna Mwingereza mmoja aliwahi kusema ukitaka kuwa tajiri TANZANIA unahitaji kuwa MZUNGU TU basi. ukifika huko watakuonesha wapi utapata mtaji, wapi kwa kuwekeza na mbinu mbalimbali za kukwepa kodi na mwisho utakuwa tajiri wa maana na unarudi zako ulaya kula raha.

Huyu lazima atakuwa yule mzungu tapeli akiitwa Nolan!! Alitaka kuanzisha mradi wa samaki kamba kule Rufiji delta wanaharakati wakamkurupusha!!
 
Hapa tukotunajadili tukimpa January Makamba wizara yake, then akaichafua, tutatashindwa kumnadi vizur kwny presidential position 2015, natukimnyima tunahofu watu watatafsiri vbaya kama hatumuamin... so bado tuko kwenye mchakato mzito namnagani tutamsaidia huyu kijana....
 
watanzania sijui uwafanyie nn?Halafu kila mtu mjuaje!!!Rais asingewafuta kazi maneno!!Badala ya kumwacha atulie,,maneno?Au kwa kuwa watz wamepewa uhuru wa kujieleza hata kumwita Rais dhaifu???Hebu fikiria ungekuwa China,korea kusini,urusi,Rwanda,uganda au zimbabwe kama ungekuwa na uhuru hata kukaa kwenye key board na kuchapa upuuzi huu...too much ujuaji na kulalamika,,halafu hii tabia inakua kwa kasi sana.Juzi Rais ametoa siku ya mapumziko maneno,,tena mpaka watu wamemtukana,hv hatuwezi kumshukuru Rais hata mara moja kwa huu uhuru wa kujieleza tulionao?Angekuwa babako amekupumzisha kwenda shamba ungemtukana hivyo!!!Halafu utazani hiyo siku moja angeenda ofisini angefanya cha maana,,mbona weekend huwa hamjitolei kwenda ofisini kumalizia mafile??Idiot kizazi!!!
Jey key ni dh.ai.fu!
 
Hapa tukotunajadili tukimpa January Makamba wizara yake, then akaichafua, tutatashindwa kumnadi vizur kwny presidential position 2015, natukimnyima tunahofu watu watatafsiri vbaya kama hatumuamin... so bado tuko kwenye mchakato mzito namnagani tutamsaidia huyu kijana....
Kweli kabisa, kwa jinsi EL alivyojipanga huyo dogo akipewa wizara lazima yatokee ya Operation Tokomoza Uwaziri tu,mkimwacha kwenye unaibu itaonekana HATA JK HAMWAMINI. Kweli kazi mnayo...!
 
Back
Top Bottom