Kwa upande wangu siwezi kukushauri kulipa kisasi kwa kutembea na mke wa mtu hiyo haiusaidii chochote zidi ya kukubadilisha kutoka kua mtu wa maana na kua mtu wa ovyo.Hakuna baya linamwongezea mwandamu kitu cha thamani,though wengi wanachukulia poa lakini ukweli ni kwamba ubaya ni mbegu,kwahyo...
Sawa bro,its not a fight,binadamu tunateleza na hapo tulikua tunakumbushana tu umuhimu wa kutanguliza utu kuliko chochote.Fortunately umepitia magumu kwahiyo unajua vzr adha ya kutaabika.Mungu atushindie kwenye udhaifu wetu.Kingine cha muhimu ni kwamba kutokana na tunayopitia maishani wakati...
MWANADAMU,MWANADAMU,kusikudanganye kujitosheleza kwko kwa leo,hakika kesho yako huijui na hicho ndo kitu cha kuogopa sana.Huenda wapumbavu wa leo wakawa ndio wenye maarifa kwenye kesho yako ngumu.Usinajisi baraka zako,mafanikio yako kwa kudharau wengine!!
Hapana ukuo sahihi na hasa sometimes mtu mafanikio anakua ameyapata kwa mapambano magumu but my point ilikua angalau kutumia lugha itakayo mfariji mwenzio,kwasabbu jamaa alichokizungumza ni mtu ambaye yuko kwenye changamoto sio ndogo,mbaya zaidi sio ya kujipigania yeye pekee bali kuna watu...
Kama utaalamu wowote guys,register kwenye portal mpya ya freelancers bongo kwaajili ya kupeana michongo ambapo itakua kama sehemu pia ya kukutangazia service yako.Kama hujui kabisa namna ya kufanya unaweza check profiles zilizoko pale kisha ukajaza kwa style hiyo.sehemu mpya hiyo ya kuweza...
Kwa ambaye hata jali kuna site nimeianzisha ni mpya ambayo nategemea pia kuitangaza kupitia social networks kwa kurun ads.Site hii nimeitengeneza kwaajili ya watu kupeana michongo,kivipi?
Ni site ambayo unajisajili bure kisha unaandika huduma/service unayoitoa na kujaza details zote...
Nakubali suala la unafiki kwa watanzania wengi na sio tu watu kuisaliti serikali,nina uhakika pia wale wa upande wa Gwajima wapo waliofanya kinyume.
Kifupi ukweli kuhusu maisha ni kwamba hakuna kitu kitakachoanzishwa duniani kikapata waungaji mkono wote au wa kukataa wote.Na hii ndio tofauti...
Nchi hii ni balaa!! Watu wanajisifu wana akili na kutukana wenzao cha ajabu kwa akili zao hizo hizo nyingi hawana njia mbadala zaidi ya kusisitiza watu wacopy namna za wengine.Ni muhimu sana ifike kipindi bongo zetu wenyew ziweze kufanya kazi na kukosea ndio kujifunza
Upo sahihi.Na kiukweli sielewi kwanini watanzania wengi sehemu pekee tunayoweza kusimama kwa nguvu na kwa sauti ni kwenye kukosoa.Sawa kukosoa sio mbaya basi kosoeni kisha toeni maoni ya thamani zaidi.Nafikiri anayejaribu jambo la kutaka mafanikio ni bora kuliko ambaye hathubutu kabisa.
Mimi sioni kama kuna tatizo kama ufanisi utakuwepo.Raisi akifanya hivi sifikirii kuwa inafunga milango kwa njia/namna nyingine pia kutumika.Ni suala la kuanza,kujifunza na kisha kuboresha au kuchagua njia ipi sahihi.
2.Kwanini kila kitu tunapenda kusema akina fulani hawafanyi hivi,angalia akina...
Usijifunze kwa watu walioshindwa,walioshindwa wana maneno mengi.Ndo sio tu kwamba ni jambo la mtu kuamua ndo pia ni jambo la ki Mungu.Yaani kuumwa kwa mwanamke matumizi yake sahihi ni kwenye ndoa.Ndoa ni ibada na ibada ni lazima ila tu pale taratibu nyingine au maelekezo ya Mungu kuhusu ndoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.