Recent content by Nurayah

  1. N

    JamiiForums Tanzania utumishi kwa mara nyingine tena.

    Baada ya kuona deadline mwezi wa sita tayari nilitia shaka. Muda wa kuapply baada ya kazi kutangazwa serikalini mara nyingi huwa siku 14. Mtoa mada acha kucheza na hisia za watu.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Karucee, Ni masharti ya mkataba na Bianca alikubali na akasaini. Na zaidi si tu hakuruhusiwa kumshika ila hata kujifungua ilipangwa ifanyike kwa operation.
  3. N

    JamiiForums Tanzania TUME YA KIDATO CHA NNE: Mbatia, Oluoch wakataa uteuzi

    Nakuunga mkono Mbatia na kamwe usikubali, si walikudharau mwanzo? Wanakutaka ili iweje?
  4. N

    JamiiForums Tanzania RAFIKI WA KIKE kwanza mengine baadae

    Noted!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kubadili 'not eligible courses' TCU

    Salaam Wakuu, Kwa siku mbili mfululizo nimekuwa nikijaribu kubadili course za mdogo wangu zilizowekewa comment tajwa bila mafanikio. Nikiclick kwenye selected programs inarudi tena kwenye page ya log in, naombeni msaada wakuu.
  6. N

    JamiiForums Tanzania kuna uwezekano ukadoo siku ya 15 tangu siku ya 1 bleed then siku ya 28 akableed

    Maelezo yako ni mazuri, ila kuna jambo hujamsaidia, alifanya mapenzi siku ya hatari zaidi ilikuwa ile ya 15, lakini mpenzi alipata cku zake kama kawaida cku ya 28, baada ya kumaliza wakafanya tena siku ya 8 ambayo si hatari sana katika upatikanaji wa mimba, labda umpe ufafanuzi yawezekana...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Looking For a Decent Man To Give My Love.

    Thanx Nteko. I hope they r still others 'like u' out there.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kanumba

    Pita pita mitaa ya Buguruni Malapa au Ilala Bungoni utampata tu, ndo maskani yake tangu enzi zile anapiga mzigo kwenye daladala.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Big Brother Africa (BBA) 2012 - Updates

    Siyo Bhoke, ni Lotus.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Looking For a Decent Man To Give My Love.

    Thank you rafiki.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Looking For a Decent Man To Give My Love.

    Asante mkuu, nashukuru kwa kuniombea kheri na kunipa moyo.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Looking For a Decent Man To Give My Love.

    Im sorry Diccky.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Looking For a Decent Man To Give My Love.

    Asante Mkuu. Asante sana kwa ushauri wako.
  14. N

    JamiiForums Tanzania I just got a new baby boy!!!!!

    Hongera sana.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Looking For a Decent Man To Give My Love.

    Thank you for the encouragement.
Back
Top Bottom