kuna uwezekano ukadoo siku ya 15 tangu siku ya 1 bleed then siku ya 28 akableed | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuna uwezekano ukadoo siku ya 15 tangu siku ya 1 bleed then siku ya 28 akableed

Discussion in 'JF Doctor' started by bung'a, Jun 9, 2012.

 1. b

  bung'a Senior Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kuna uwezekano mwamke akadoo siku ya 15 tangu siku alipoanza kubleed then siku ya 28 akableed kama kawaida baada ya hapo mkadoo siku ya siku ya nane.. Baada ya siku saba apime aonekane ana ujauzito?
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  ndio. Inawezekana.
   
 3. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,363
  Likes Received: 2,990
  Trophy Points: 280
  Anapata kabisa nadhani mkuu labda unataka ufafanuzi?
   
 4. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,062
  Likes Received: 3,928
  Trophy Points: 280
  Ndiyo inawezekana, tena iyo siku ya 15 ni mtoto wa kiume aisee,...lea iyo mimba kuna dume linazaliwa. siku za hatari ni kuanzia siku ya 9 hadi ya kumi na tano au kumi na sita ivi...siku ya 9 hadi ya 12 ni mtoto wa kike, siku ya 13, 14 na 15 au pengine 16 ni mtoto wa kiume.....na kuna wanawake wengine unadetect mimba haraka sana...

  Mfano, mimi na mke wangu, nina damu kali sana, ile wiki mke wangu mimba inanasa tu, wiki hiyo hiyo huanza kuugua hadi miezi kama miwili mitatu ivi......yaani home na kutapika mtindo mmoja...wiki ileile ya kwanza, hivyo tukiwa tunataka kupata mtoto, nikishalenga tarehe tu nikaona ameanza kuugua, huwa sina haja ya kuchukua UPT nipime, ni kuanza kulea mimba mtindo mmoja hadi miezi mitatu ndo anaanza kuwa normal na kula chakula kama kawaida...mate kibao yaan shughuli.
   
 5. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,498
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  ndio anaweza pata mimba..bt kaka hapo juu napingana nae tarehe za mwanzon za hatar i.e kuanzia 8 mpaka kumi 3 ivi mtoto mara nyng wa KIUME ila tarehe zngne ndo mwanamke.
   
 6. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,062
  Likes Received: 3,928
  Trophy Points: 280
  una bahati mbaya sana, siku ya kumi na nne na kumi na tano plus kumi na sita ni mtoto wa kiume...uliza mtu yeyote, jaribu kuperuzi maeneo mmengi hata google tu itakusaidia....manake naona umeongea kwa ujasiri wako wote kama unajua vile.
   
 7. N

  Nurayah Member

  #7
  Jun 15, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maelezo yako ni mazuri, ila kuna jambo hujamsaidia, alifanya mapenzi siku ya hatari zaidi ilikuwa ile ya 15, lakini mpenzi alipata cku zake kama kawaida cku ya 28, baada ya kumaliza wakafanya tena siku ya 8 ambayo si hatari sana katika upatikanaji wa mimba, labda umpe ufafanuzi yawezekana mwanamke kupata mimba na baada ya wiki 2 kubleed kama kawaida?

  Au kuna uwezekano wa kupata mimba siku ya 8?
   
 8. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,062
  Likes Received: 3,928
  Trophy Points: 280
  mzee, siku zote hizo mbili alizodu ni za hatari, pamoja na kwamba ile ya 15 ni hatari zaidi. hata hiyo ya nane angepata mimba pia. cha muhimu kuelewa ni kwamba, kuwa wanawake wengine wanaweza kupata mimba alafu wakaendelea na bleed mara moja tu kwa mwezi unaofuata kama kawaida, hali hii imethibitishwa na madoctor pamoja na kwamba ni nadra n=si kwa kila mtu, ila inawezekana...ninasema inawezekana alipata mimba sku iyo ya 15, na akableed kama kawaida zile 28 zilipofika....na ile ya nane badae nayo ingempa mimba vilevile, hivyo huyu jamaa mimba hii ni ya kwake..
   
Loading...