Recent content by nuraen

  1. N

    Voice of America yaikosoa NEC

    Tanzania haina demokrasia
  2. N

    Maalim Seif awataka Wazanzibar watulie, yupo katika mazungumzo na taasisi za Kimataifa

    Hawa ccm kwani mbona hawakubali kushindwa kwa nini?
  3. N

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Kwahiyo nyie bado mnakumbatia mafisadi2
  4. N

    CHADEMA kuzungumza na waandishi wa habari saa 7 mchana (Press Conference)

    Lowasa kweli kidume yani nimeamin , nampa bigap sana huyo mzee kuto kubali kuzulumiwa
  5. N

    Magufuli anza na Mikataba ya Gas, Madini, IPTL, SYMBION, ESCROW, Lake Oil, Lake Gas..

    Magufuli hawezi kufanya chochote kuhusu mikataba yale yalikua maneno ya kuwadanganya wale wenye upeo mdogo wakuelewa ambao walikua wanaimba ccm mbele kwa mbele wakati wanajua mateso tunapata ote bila kujali we ni nani
  6. N

    Tathmini: Lowassa amemfunika Dr. Slaa

    Mimi sipigi kura mpaka itapowepo tume huru
  7. N

    Dr Magufuli Baada ya kuapishwa naomba uanze HESLB

    Msilalamike mana hamtaki kusoma bure
  8. N

    Nec transparency - manual vote tallying (hesabu ya kura upya)

    Hata wabunge ccm wamechakachua
  9. N

    Najuta kupiga kura 2015, sitokaa nipige kura tena

    Nampongeza lowasa kutokubali kuzulumiwa yani safi sana
  10. N

    Najuta kupiga kura 2015, sitokaa nipige kura tena

    Usizulumu wala usikubali kuzulumiwa
  11. N

    Najuta kupiga kura 2015, sitokaa nipige kura tena

    Siku zote mwenye upeo wa kufikili hawezi penda ccm wala kushabikia yani utakuta lijitu linasema tumeshinda ukimuliza anakuambia ccm tumeshinda alafu baada ya siku chache linaanza kulalama,
  12. N

    Vijana wa Songea wakienda kuizika UKAWA

    Kweli mambumbu hayaishi hivyo hujui kwamba ccm ni hadui kwako? Au unafikili ukiumwa utapata dawa hosptali nimeamini kuna watu majuha na wehu tena zaidi ya wehu
  13. N

    Umasikini wa Watanzania ni wa kujitakia

    Hayo matokeo yanapinduliwa2 katka vituo anashinda mwingine kisha anatangazwa mwingine
Back
Top Bottom