Recent content by Nura Hashim

  1. N

    Naomba APPS inayonirudishia deleted photos

    Wajuzi wa mambo ya net na apps,nauliza kama kuna APPS yoyote inayoweza kunitolea picha zangu zilizofutika kimakosa kwa galaxy yangu,nina Samsung Galaxy Grande Prime Duos zilikuwa images pamoja na photos zangu ambazo ni muhimu kwangu.msaada wenu Asanteni.
  2. N

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

    Mimi naona ingekuwa ni ubora zaidi kila anaeleta hoja humu au habari yoyote muhimu aweke link ni wapi amepata habari hizo,kama hana link wala uhakika wa habari zake basi ni bora azihifadhi mwenyewe.Asanteni
  3. N

    Wanajeshi Arusha wafanya ukatili wa kutisha

    Na hiyo kweli inawapa haki gani kumpiga innocent girl? Wanajeshi wenye nidhamu lazima wawe na huruma kwa wazee na watoto na kina mama na wanyonge,hao ni lazima wasakwe na kufunguliwa mashtaka haraka sana.
  4. N

    Je, wajua Kwanini mtandao wa TWITTER hautumiwi na watu wengi hususani watanzania?

    Sawa mkuu,tujulishe basi ulichoambuwa kwa mtndao wa twitter na sisi wengine tufikie hapo ulipofikia.
  5. N

    MADAKTARI NA WASHAURI WA TIBA MKO WAPI?

    MADAKTARI NA WASHAURI WA TIBA MKO WAPI? Naomba wanaohusika na jukwaa hili mashuhuri la Jamii watuwekee ukumbi special wa Matabibu na washauri wa tiba ili tuweze kuwauliza mambo mbalimbali za kiafya na matibabu.
  6. N

    Hivi thamani ya nchi ya Tanzania ni shilingi ngapi?

    Hizo trilion 40 au 50 ni shillings au ni dola za kimarekani tujuwe hilo kwanza
  7. N

    Hivi thamani ya nchi ya Tanzania ni shilingi ngapi?

    Na mimi nauliza kama kweli jambo kama hilo lipo la nchi nzima iuzwe,wananchi watakimbilia wapi nchi ikiuzwa,itabidi muishi watumwa katika nchi za watu au watumwa kwa wale muliowauzia nchi nzima.Jambo ambalo haliingii akilini.
  8. N

    Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    Mola anakupima subira yako,iko karibu siku ambayo utafurahi sana,Mola ndie ajuwae hali yako zaidi yetu,ninaamini utakuja humu jamvini mwa JAMII kubwaga shukurani zako na kutupatia habari nzuri na mwaliko vilevile,muamini Mola wako kwa kila jambo.
  9. N

    Row as Iraq minister's son 'forces' flight turnaround

    Iraqi Minister's son showing his power!!, Link; BBC News - Row as Iraq minister's son 'forces' flight turnaround
  10. N

    Abiria ajichinja ndani ya bus likitokea Lindi (TAHADHARI picha zinatisha)

    Bila shaka Polisi watachunguza na kujua sababu kamili ya huyo kijana kuamua kujiuwa.Sijui na sisi wasomaji tuliosoma tukio hili tutaambiwa sababu au ndio basi?.
Back
Top Bottom