Hivi thamani ya nchi ya Tanzania ni shilingi ngapi?

Hivi thamani ya nchi ya Tanzania ni shilingi ngapi?

Subiri kwanza viwanda vije ili tuuze kwa dau kubwa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Leo nimejiuliza sana. Hivi nchi ya tanzania inaweza kuwa na thamani ya shillingi ngapi?

Hili swali limeibuka baada ya kujiuliza kwa mfano watanzania tukikubaliana nchi yetu iuzwe kila mtu achukue chake. Je katika uo mgao kila Raia wa Tanzania atachukua kiasi gani?

Na mimi nauliza kama kweli jambo kama hilo lipo la nchi nzima iuzwe,wananchi watakimbilia wapi nchi ikiuzwa,itabidi muishi watumwa katika nchi za watu au watumwa kwa wale muliowauzia nchi nzima.Jambo ambalo haliingii akilini.
 
Tanzania huwezi kuinunua kwa vyovyote

Kwanza utatakiwa ulipe deni la nchi inayo daiwa more than 50 trilion

Sifikirii kama nchi ina dhamani ya trilion 40 tena wazungu walisha pora mali zote!!

Tanzania nafikiri imebaki tu gofu!!
 
Na mimi nauliza kama kweli jambo kama hilo lipo la nchi nzima iuzwe,wananchi watakimbilia wapi nchi ikiuzwa,itabidi muishi watumwa katika nchi za watu au watumwa kwa wale muliowauzia nchi nzima.Jambo ambalo haliingii akilini.
Bora uishi mtumwa kwenye nchi ya watu kuliko kuwa mtumwa kwenye nchi yako.
 
isiuzwe...ila tukodishe mikoa kama; kigoma, ruvuma, lindi, mtwara na singida....itaongeza oato la taifa
 
Leo nimejiuliza sana. Hivi nchi ya tanzania inaweza kuwa na thamani ya shillingi ngapi?

Hili swali limeibuka baada ya kujiuliza kwa mfano watanzania tukikubaliana nchi yetu iuzwe kila mtu achukue chake. Je katika uo mgao kila Raia wa Tanzania atachukua kiasi gani?
Sio vizuri kuota ndoto za namna hii kuna siku utataka kuuza hata kichwa chako
 
Huwezi kuithaminisha nchi eti iuzwe shilingi ngapi? Hapo ni sawa na kutafuta thamani ya kumuuza mwanao,baba yako na mama yako, huwezi kuuza utu wako.
 
Huwezi kuithaminisha nchi eti iuzwe shilingi ngapi? Hapo ni sawa na kutafuta thamani ya kumuuza mwanao,baba yako na mama yako, huwezi kuuza utu wako.
Achabasi utu wa mtu unaujua wewe. Mbona watu wanauza viwanja vyao ila wanabaki na utu wao? Kama viwanja vinauzwa na mashamba. Y not Tz?
 
Kajiuze wewe mwenyewe au figo zako
Jamàa ni assumption tu. Kunahitaji kuevaluate nchi yetu inathamani gani. Ni sawa na kampuni inaevaluate assets zake na kujua unavalue gani.
 
MAFIE JR Wewe ndyo mvuta shisha. Yan upo upo tu. Ni sawa unamiliki biashara hujui hata thamani yate. Na nchi yetu haipati maendeleo sababu hatujui thamani yake. Tungekuwa tunajua thamani ya rasilimali tulizonajo tungekuwa tupo mbali. Yani nchi inapelekwa tu kama gari bovu. Hata makampuni huwa yanaevaluate thamani yake annually. Tungekuwa tunajua thamani ya nchi yetu tusingrkuwa na madeni ya ajabu ajabu bila kuweza kuyalipa.
 
Huwezi kuithaminisha nchi eti iuzwe shilingi ngapi? Hapo ni sawa na kutafuta thamani ya kumuuza mwanao,baba yako na mama yako, huwezi kuuza utu wako.
kubinafsisha vipi mkuu hatuwezi kuibinafisha yote ila sisi tukaendelea kuishi .
 
Dahh saiv namba zimewachanganya hamuzion vizuri yaani mmeanza kuwaza kuuza taifa??! Teheheee kaza Mh. Mpaka ham zote ziishe,
 
Labda tuithaminishe kwa GDP ya mwaka,kwa mwaka GDP ya Tanzania sidhani kama inazidi 20Billion USD,hivyo mtu mwenye cheque ya 20B USD anaweza inunua nchi kwa muda wa mwaka mzima,na vitu vyote vilivyomo na watu wake...

Concept ya pili ni kwamba inajulikana dunia nzima ina thamani ya 400Trillion USD,labda tukigawanya kwa jumla ya nchi duniani tunaweza pata kwa wastani thamani ya nchi moja....wastani wa idadi ya nchi duniani ni 250,hivyo kwa wastani nchi inaweza kua na thamani ya 1.6Trillion USD,ambapo kwa utajiri wa Bill Gates wa 75Billion USD hawezi nunua,ila wakijiunga Bill Gates,Mzee wa Hathway,Carlos Slim na Ambani wanaweza inunua...hii ina maana,watu waliomo,ardhi,na mali zote kama zilivyo milele na milele.
 
Back
Top Bottom