Recent content by Nuno esparito santo

  1. Nuno esparito santo

    JamiiForums Tanzania Halafu mtu anasema ni wezi, ona madude hayo

    kijana haelewi soviet union ni nani
  2. Nuno esparito santo

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu Mahojiano aliyofanyiwa Rais Putin

    we kima Russia mwenyewe ashawahi kuwa superpower alidrop uwo mwishi wa dunia ulitokea?
  3. Nuno esparito santo

    JamiiForums Tanzania Kwanini vibopa wengi wanapenda logistic business?

    shida wasomi wakitaka kufanya jambo huwa wanafanya analysis nyingi sana ambazo mwisho wa siku huwa wanaishia kukata tamaa
  4. Nuno esparito santo

    JamiiForums Tanzania Kwanini vibopa wengi wanapenda logistic business?

    jamaa wako njema sana nahisi pia kuwa na makampuni yao ya logistic inawapunguzia costs za kusafirisha bidhaa zao
  5. Nuno esparito santo

    JamiiForums Tanzania Kwanini vibopa wengi wanapenda logistic business?

    nazani anamaanisha shule
  6. Nuno esparito santo

    JamiiForums Tanzania Kwanini vibopa wengi wanapenda logistic business?

    Bila kusahau akina GSM
  7. Nuno esparito santo

    JamiiForums Tanzania Kwanini vibopa wengi wanapenda logistic business?

    Hivi ni Kwanini vibopa wengi wanapenda logistic business? Ina faida sana ama ni biashara ndani ya biashara.
  8. Nuno esparito santo

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nimejitahidi kufatilia toka mwanzo mkuu kimasihara ya mtungo sijaona
  9. Nuno esparito santo

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    kwanini? hamna kimasihara ya mtungo
  10. Nuno esparito santo

    JamiiForums Tanzania Unajua nini kuhusu kuajiriwa?

    Wandugu hii thread Ni kwaajili yakupea uzoefu kuhusu kuajiriwa kwa ambao mshawahi kuajiriwa Karibuni Wana Jf
  11. Nuno esparito santo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Oyaa wale wakudeposit betpawa kwa halopesa vipi Bado inasumbua?
  12. Nuno esparito santo

    JamiiForums Tanzania Nahitaji compressor XAS 96 New

    poapoa
Back
Top Bottom