Amna watu naona majinga kama nyie mnaoongela ushabiki wa mchezaji mmoja mmoja , Bro umeanza kushabikia mpira baada ya ujio wa azam tv?
Sema sababu za argentina kushinda, mambo ya Ronaldo ya nini hapa?
Baada ya France kufungwa na kupigiwa mpira mkubwa sasa kesho ni zamu ya Argentina ambaye kuanzia group stage mpaka quarter final amekuwa akicheza na vibonde pamoja na kubebwa na marefa
Sasa kesho bigwa wa mbinu na bigwa wa knockout Tomas Tuchel atawaonesha ubovu wa Argentina
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.