PostGE2025 VIDEO: Huyu mrembo naye alihusika kuua ndugu zetu Oktoba 29

PostGE2025 VIDEO: Huyu mrembo naye alihusika kuua ndugu zetu Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Na jamaa wa jezi ya Yanga kapita mbio hapo akitoka kupora uhai wa vijana.
Huyu jamaa WA jezi ya yanga anaonekana alipiga show Barbara si ndo Yule yupo kwenye Ile picha wapo kama wanne hivi 🤣🤣 nasikia alikuwa akiona umeshika mtungi wa gesi unakimbia nao haulizi anafokoa tu.
 
Huyu jamaa WA jezi ya yanga anaonekana alipiga show Barbara si ndo Yule yupo kwenye Ile picha wapo kama wanne hivi 🤣🤣 nasikia alikuwa akiona umeshika mtungi wa gesi unakimbia nao haulizi anafokoa tu.
Hata Sharif Majinn alipigwa akiwa na mtungi wa Gesi.
Inasikitisha Sana.
Endelea kufurahia Mauaji.
 
Anakimbia huku anasema "gusa achia twende kwao".

Msemaji wao alituambia wiki kadhaa kabla kuwa safari hii wanapiga za kichwa tu (siyo kama zile za Lissu), wengi mkadhani anaongelea mamipira.
nasikitika sana hawakufanya kazi vizuri uilitakiwa wapige vichwa kweli kweli wasehnzi wakome
 
Back
Top Bottom