Wapeni sifa za kijinga tuu, wenzao wazayuni wanaojiona special kama wao wanaliua taifa lao haramu kwa mikono yao kwa kupika chuki na mataifa ya ulimwengu. Hadi wanaowakubali weanza kujitwnga nao uongo wao umeshidhirika kwa matendo yao maovu
Watanzania hasa viongozi wa serikali wanaogopa maisha, vikwazo ni moja kati ya changamoto zinazosababisha kukua katika nyanja zote. Kitu muhimu ni kujipanga na matumizi ya rasilimali tulizonazo.
Hii miongozo ya kisera ambayo tumerithi muda mrefu inaturejesha nyuma sana. Kwa mfano hii sera ya...
Nafkir wakristu hususan wa kitanganyika huwa hamfundishwi adabu makanisani mwenu. Mnachoelekezwa ni kuwa mazwazwa na kusamehewa zambi.
Hata kuongea hamjui, wehu kupita kiasi na mnajiona mnaakili na maarifa. Ati zanzibar inatoa vilaza. Umeshawahi kusoma na wazanzibari ukagundua kuwa wao ni...
Uwache chuki na uislamu.
kulingana na kipande hiki cha video, hii inaonekana dhahir kwa aliyekosa adabu ni mwanamke aliyeanza kumzaba kibao askari. Askari amechukua hatua kwa kurejesha kibao kwa raia ambae ni mwanamke.
Hivyo ulitamani askari akubali udhalilishaji aliofanyiwa kisa aliyeanza...
Washington DC
Katika tukio linalotikisa anga za kisiasa na kijeshi za Marekani, uvujaji wa mazungumzo ya siri ya maafisa waandamizi umefichua mjadala wa kina kuhusu mipango ya mashambulizi dhidi ya waasi wa Houthi nchini Yemen. Kisa hiki, kilichobatizwa jina la SignalGate, kimeibua maswali...
Wanawake huwa wanatafuta matatizo kusudi, hivi unapataje ujasiri wa kumkataa mwenzako ambae amejitoa jumla jumla kwako ili muww kwenye maisha.
Ndio huwa tunalaume vijana wa kiume hawaoi na wala hawaishi na wachumba kisa na mkasa ni hii tabia.
Kibu ana vibes la kutafuta goli, yumkini hana maarifa ya kufunga magoli, hana maarifa ya kiifundi kushawishi walinzi lakini ana nguvu na muandaaji wa pirika pirika za kutafuta magoli.
Walimu wanajua kazi na umuhimu wake akiwa kiwanjani, ila mashabiki na watazamaji huwa hatuna muda wa kumjaribu...
Lisemwalo lipo, haijapata kutokea taifa lenye mapandikiza ya MOSAD kama Iran, na ndio maana hawana wanaloweza kupanga wayahudi wa mchongo wasitambue.
Kitu muhimu wanachopaswa kifanya ni kujichunguza upya ili kupunguza ama kuondoa kabisa mapandikizi ya MOSAD katika serikali na mitaa yao
Strategic relationship inatakiwa ianze mapema unapoingia miaka 30, Ila vijana wengi huwa hatuelewi namna ya kuset mikakati katika mahusiano, na hata kama tukikumbushwa huwa hatuzingatii na tunakuwa tunaendelekeza shape, sura na hali ya fedha.
Wenza wazuri wa kufanya maisha hawapatikani kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.