Jana usiku ccm wamekubaliana kutetea kwa namna yoyote asin'goke mtu! Cha ajabu eti ni Shinikizo kutoka kwa bwana mdogo Riziwani kweli sisiem wamelogwa! Nimeona jambo la ajabu jinsi dogo alivyokuwa na mamlaka alikuwa anawafokea wazee wote kimya eti wakiwaza kuwa ametumwa na baba yake.
Poleni sana majeruhi. tatizo la Nchi yetu Wamiliki wa basi hawazingatii kabisa kuyapeleka mabasi yao garage kukaguliwa kama liko katika hali nzuri na linafaa kubeba abiria , na Traffic wetu huwa wanafurahia kuona gari lenye matatizo likiwa barabarani kwani linakuwa mtaji kwao. MUNGU ATUSAIDIE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.