uyui kwetu
JF-Expert Member
- Oct 23, 2013
- 1,216
- 788
mfano unaandika kitu unahitaji picha utoe kwenye website mbalimbali na pia sometime inabidi kugoogle ili kuandika kitu chenye kueleweka.
multitasking ya android si muda wote inaeleweka sometime unaadika kitu ukirudi inareload page hivyo unapoteza vitu vya mwanzo.
wakati mwengine app inacrash. imagine umetumia nusu saa kuandika kitu halafu app inacrash unaanza upya kabisa inaboa.
operamini pia ina speed kubwa na haihitaji kuload page ukibonyeza back hivyo unabrowse site nyingi kwa muda chache na kuweza kusave time ya kufanya mambo mengine
saluti kwako mkuu