Recent content by NTONGWA

  1. N

    JamiiForums Tanzania Naomba link ya DJ Mixer App nzuri kwa Android yenye uwezo wa kupanga BPM

    Asante sana kwa majibu mazuri naanza nazo.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Naomba link ya DJ Mixer App nzuri kwa Android yenye uwezo wa kupanga BPM

    Msaada wa kupata dj mixing application kwa Android, yenye uwezo mzuri wa kucheza kwa kutafuta BPM bila kukwama
  3. N

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Hello, naomba kujulishwa gharama za malipo kwa siku package ya juu, na hatua za kufata malipo yapokelewe
  4. N

    JamiiForums Tanzania Naomba wimbo Mwana DSM wa Twanga Pepeta mp3

    Habari za jioni wakuu, Kama ombi lilivo hapo juu, Official Audio na Official Video zote hazipo kwenye digital platforms. Msaada kwa mwenye nayo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Haufunguki, page inarudi jf Sent using Jamii Forums mobile app
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Hii nahitaji sana Sent using Jamii Forums mobile app
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Hata mi nasaka sana hii Sent using Jamii Forums mobile app
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Naomba mp3 ya Mwana Dar es Salaam yao African stars wana waku Twanga na kupepeta
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nataka kufunga satellite dish mwenyewe

    Sio rahisi kama unavodhani, kifupi hutaweza tafutafundi usipoteze data na muda Sent from my TECNO CE7j using JamiiForums mobile app
  10. N

    JamiiForums Tanzania Je, ile robo ya mwaka katika siku 365 na robo huwa inaenda wapi?

    Hatuunganishi mzee ondoa shaka umejitetea sana
  11. N

    JamiiForums Tanzania Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    Acha kupotezwaaaaa, nenda Mwanza haraka
  12. N

    JamiiForums Tanzania Elimu bure iondolewe, watu waanze kulipa Ada

    Tuelewane vema hapa, hatujawahi kuwa na elimu bure, tumekua na elimu bila Ada.... Michango mingine ipo pale pale Tuendelee kuchangia
  13. N

    JamiiForums Tanzania Simu nzuri kwa gharama ya laki tatu (300k)

    [emoji849]
  14. N

    JamiiForums Tanzania Simu nzuri kwa gharama ya laki tatu (300k)

    Habari za weekend, Kwa budget ya Laki tatu (300k) naomba ushauri kwenu ni simu gani nichukue yenye uwezo mzuri wa battery, camera na internal memory kubwa ya kukidhi matumizi ya kawaida.
Back
Top Bottom