Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Kisimbuzi changu kinawaka lakini hakipeleki signal kwenye TV...je mnaweza kunitengenezea bure?
 
Habari zenu wanaJamiiForums

Je, una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800

Ahsanteni sana na karibuni nyote.
Sasa mbona mmetoa MTV BASE, E.TV ILE YA SOUTH AFRICA, SIBUKA HAIONYESHI... MZIRUDISHE AISEH
 
Hqyo maandishi yanayopita juu ya screen muda wote wa mechi yanakera . Tamthiliya tamthiliya hebu ondoeni mnakera hayo maandishi yanapita kama taarifa ya habari aaaah😡

20220124_192858.jpg
 
Kwa nini kwenye decoder ya antenna mara nyingi chaneli za Kichina CGTN inaonesha vizuri sana lakini nyingine mfano Al Jazeera, BBC na Sky News zinasumbua sana kukatakata!? Kwani transmitter si ni moja? Nini kiko nyuma ya hali hii!? Ni makusudi au!? Maana hainiingia akilini.
 
Mimi natokea kijiji huku Arusha je duka lenu lipo sehemu gani jijini Arusha nipate kisimbusi cha dish kwa bei mnayotangaza ya 79,000/=?
 
Hello, naomba kujulishwa gharama za malipo kwa siku package ya juu,
na hatua za kufata malipo yapokelewe
 
Habari zenu wanaJamiiForums Je, una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu? Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi. 1. Utaje tatizo lako 2. Taja sehemu unayoishi 3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard! STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu. kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800 Ahsanteni sana na karibuni nyote.
Habari zenu wanaJamiiForums Je, una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu? Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi. 1. Utaje tatizo lako 2. Taja sehemu unayoishi 3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard! STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu. kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800 Ahsanteni sana na karibuni nyote.

Habari zenu wanaJamiiForums

Je, una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800

Ahsanteni sana na karibuni nyote.
NAOMBA KUJUA BEI YA VIFURUSHI VYENU NA NAMNA YA KUJIUNGA
 
Back
Top Bottom