Recent content by ntombi

  1. N

    Sakata la Vyeti: Waziri Palamagamba Kabudi atajwa kuwasilisha vyeti pungufu

    Hiv tunaweza kupata full list sabab na sisi wengine yamkin tukawepo ndg
  2. N

    Sakata la Vyeti: Waziri Palamagamba Kabudi atajwa kuwasilisha vyeti pungufu

    Tuwekee soft copy yote ndg ilituweza jiangalia na sisi manake naweza nikawa namshadadia palamagamba kumbe mm mwenyewe nimo.
  3. N

    Wenye vyeti vyenye utata hawa hapa

    Hi wanajamvi Cheti kua na utata inamaanisha nini? Halafu kama mfanyakazi alihama kituo ccha kazi bahati mbaya kule alipotoka akawa hawaku mfungia data sheet haiwezi kusababsha mgongano wa majina na kuonekana kunautata?
  4. N

    Waliohariri vyeti na kujiwekea alama A, B na C nyingi waanza kumiminika NECTA

    Yaani anaenda stationary anatengenezewa cheti kwa kutumia namba hiohio ya Cheti original alicho feli lkn anabadilisha grades na division ili aweze kupata sifa za kusomea mfano udaktari au uinjinia etc
  5. N

    Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, awataka wajitumbue

    Nahisi muheshimiwa anampango wakuwapa increment,kupanda madaraja watumishi wa umma mwaka 2019 kwa gia yakuwahadaa ili wampe vikura vyao vichache.
  6. N

    Rais Magufuli sikia kilio changu

    Yaani huyu muheshimiwa cjui walimu kawakosea nn yani inakatisha tamaa hasa.
  7. N

    Yawezekana Kukosa "Ubunifu" ndio tatizo letu kubwa?

    Tatizo kubwa ni bado hatuja pata UHURU yaani kuna mfumo flani unatakiwa uufate ndio mtu/mtanzania afanikiwe.We hebu imagine yule sijui aliyekua Mku wa wilaya tena anaelimu ya dakta alivo pigwa tu chini na Magu ali lia lia as if sio msomi oor cjui nawategemezi cjui ntaishije msomi mzma je layman...
  8. N

    Tetesi: CCM yalizwa na CHADEMA uchaguzi mdogo Uyui Tabora

    Mbona taarifa ulizo update kama zmepingana na zile za mwanzo mfano mwanzoni kijiji namaba 16 chadema walishinda lakini ulivo update imeonesha kashindwa HUELEWEKI NA TAARIFA ZAKO MKU.
  9. N

    Hutakiwi kuitwa Professor kama hufundishi

    Jamani bashite anaiharibu hii nchi yani watu wanajitaidi kuanzisha nzuzi zinazo kejeli wasomi wetu ili waonekane Elimu zao hazina maana yaani=bashite.Duh watz hawafai...
  10. N

    USA vs N.Korea Military Power

    Jamani mkumbuke vita yetu na IDD amin na yenyewe licha yakuturudisha nyuma kiuchumi vlvle kuna wenzetu waliwapoteza ndugu jamaa na marafki.
  11. N

    Rais Magufuli akutana na Viongozi wa TUCTA!

    Mei mosi naona ipo kwenye maandalizi ya kuwahadaa wafanyakazi.Yaani awamu hii wafanyakazi watammsi jk manake hotuba zake na ahadi zake za mei mosi kuaga anazitimiza kwa 99.99999% sio huyu anaye fikiri bado waziri wa ujenzi.
  12. N

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wakuu natafuta mtu wakubadilisha na be aje Dar temeke Mimi niende Dodoma,Singida au Moro lakini je Tamisemi wamesha ruhusu uhamisho wa nje ya mkoa?
  13. N

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wakuu kwani serekali imesha ruhusu uhamisho wa nje ya mkoa?
  14. N

    Mh.Rais Magufuli kweni Waziri wa Mambo ya Ndani Anastahili kuwepo Na matukio haya ya Ujambazi?

    Hivi bashite anatoka wapi vile.Hata kama ingekua wwe pamoja na ile video iliyo muonesha bashite akivamia clouds still rais alimwambia aendelee kupiga kazi.Ubabe sio suluhu ya matatzo.
Back
Top Bottom