Mh.Rais Magufuli kweni Waziri wa Mambo ya Ndani Anastahili kuwepo Na matukio haya ya Ujambazi?

Euphransia

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
937
778
Mh.Rais nadhani ni dhahiri Waziri wako wa Mambo ya Ndani Na IGP wake wamethibitisha kuwa wamezidiwa mbinu Na maarifa ya kuthibiti Na kupambana Na Uhalifu Nchini.Matukio ni mengi km
1,Kuuwawa wa Polisi wetu
2,Utekwaji wa wananchi
3.Uvamizi wa kituo cha Clouds
4,Mauaji ya wafugaji Na wakulima
5,Vyeti feki
Mh.Rais nafhani viongozi hao wanapaswa kupumzishwa Kwa sasa.
 
Nadhani baba jeska anawavutia pumzi tu.
Ila hawa wote wametokea singida kwann wanashindwa kirahisi hivyo??
They lack technicalities nadhani
 
Euphrasia, huwa nakuamini katika weredi wako (pamoja na kuwa sikujui), but one can tell from ones writings. Sasa hii mbona unatoka nje kidogo? Clouds unajua fika kuwa makonda ni ally of Mkuu, ameona aliyoyafanya akasema chapa kazi... vyeti fake kuna ushahidi usio na mashaka, amekaa kimya anasema chapa kazi. Unadhani Mwigulu ni mjInga kiasi hicho, he is very smart I can assure you! He has , I am sure, ONE CAN TELL FROM THE CONDUCT OF THE MKULU, all blessings from Mkuu wa kaya, telling him..KEEP QUIET, IGNORE THEM!!
 
Nadhani baba jeska anawavutia pumzi tu.
Ila hawa wote wametokea singida kwann wanashindwa kirahisi hivyo??
They lack technicalities nadhani
Hivi bashite anatoka wapi vile.Hata kama ingekua wwe pamoja na ile video iliyo muonesha bashite akivamia clouds still rais alimwambia aendelee kupiga kazi.Ubabe sio suluhu ya matatzo.
 
Mh.Rais nadhani ni dhahiri Waziri wako wa Mambo ya Ndani Na IGP wake wamethibitisha kuwa wamezidiwa mbinu Na maarifa ya kuthibiti Na kupambana Na Uhalifu Nchini.Matukio ni mengi km
1,Kuuwawa wa Polisi wetu
2,Utekwaji wa wananchi
3.Uvamizi wa kituo cha Clouds
4,Mauaji ya wafugaji Na wakulima
5,Vyeti feki
Mh.Rais nafhani viongozi hao wanapaswa kupumzishwa Kwa sasa.
Namba 5- pekee inamfanya magufuli aache kusikiliza ushauri wako , kumbuka magufuli anampenda Daud Bashite kuliko familia yake ukitaja vyeti feki unakuwa umemuuzi tayari hawezi kupangiwa cha kufanya kwa mujibu wa hotuba yake pale ubungo majuzi ilee..
 
Mh.Rais nadhani ni dhahiri Waziri wako wa Mambo ya Ndani Na IGP wake wamethibitisha kuwa wamezidiwa mbinu Na maarifa ya kuthibiti Na kupambana Na Uhalifu Nchini.Matukio ni mengi km
1,Kuuwawa wa Polisi wetu
2,Utekwaji wa wananchi
3.Uvamizi wa kituo cha Clouds
4,Mauaji ya wafugaji Na wakulima
5,Vyeti feki
Mh.Rais nafhani viongozi hao wanapaswa kupumzishwa Kwa sasa.
Mi nadhani waziri anastahili kuendelea kuwepo, kama ambavyo ameshindwa kuwachukulia hatua wahalifu waliomtolea Nape bastola waliomteka Roma, waliovamia clouds, waliomteka ben, Bashe na wwngine vivo hivyo hawezi kuchukua hatua kwa uhalifu mwingine unaonndelea maana. Kwasasa amepigwa gazi juu ya mwenendo wa dola anayoitumikia.

Watanzania hatuko salama, tunaandamwa na majambazi walioko serikalini na majambazi walioko mtaani. Sijui salama yetu ipo wapi.
 
Back
Top Bottom