Pole na majukumu,Mimi ni mwalimu,nilipandishwa daraja mwaka 2008 nikawa mwalimu mwandamizi cheo chenye ngazi ya mshahara TGTS E1,kati ya mwaka 2009_2012 nilijiendeleza kitaaluma nikatunukiwa shahada ya ualimu BAED,niliwasilisha vyeti nikapandishwa daraja kuwa afisaelimu daraja la kwanza (sasa mwalimu daraja la 11c)ngazi ya mshahara TGTS E. sikutendewa haki na mfumo.
Mwaka 2016 nimepandishwa daraja na kuwa mwalimu daraja la kwanza 1 C ngazi ya mshahara TGTS F,hata hivyo sijarekebishiwa mshahara mpaka sasa,naumia sana,nimekata tamaa na kazi.Nilopandishwa nao walirekebishiwa.
Mh, Rais naomba uamuru mamlaka husika nirekebishiwe mshahara.
Naomba mfumo wa kupandisha madaraja kwa watumishi wa muda mrefu wanaojiendeleza kitaaluma uangaliwe upya kwani unakatisha tamaa.
Niko tayari kuweka mawasiliano yangu hapa ili kama hutajali nikupatie ufafanuzi.
Natanguliza shukrani.
Mwalimu wilaya ya Bunda mkoa wa Mara.