Hii sheria kandamizi sana na haina faida yoyote! Ni ubinafsi tu wa watu wanaojifikiria wenyewe basi, kisa wao wapo kwenye the so called permanent and pensionable employment, hawawafikirii wengine, nashauri hii sheria Bunge waibadilishe kwa kweli inaumiza sana.
Huu mtihani wa form 4 au 6? Mbona simple hivyo, maswali mengi yapo level ya chini kabisa ya cognitive domain, acha psychomotor na affective domain zipo kidogo sana, na tunaongelea competence based curriculum, hata kama ni paper one! Form six anaambiwa Mention, list, identity, Name, explain etc...
Jamani uongozi ni kazi ngumu sana, huwezi kuwa perfect kila kitu, tumtie moyo Rais wetu, hata wewe ungepewa kuongoza huwezi jua labda kwako yangeonekana mapungufu makubwa zaidi
Hao watangazaji uliowasema ndo wanaongoza kwa kupendwa zaidi, na ndo maana wanawasikilizaji wengi na wanapata matangazo mengi ya biashara. Wanatangaza vizuri
Kwanza tukubali kiswahili kigumu kuliko kiingereza, hasa cha kishuleni (science), pia tunaongelea projects na international collaboration sijui kiswahili hadi chuo kama tutafika.
It means tujiandae kuwekeza pesa nyingi kusomesha watoto wetu English medium au Uganda au Kenya. Tukifikiri kwa...
Kiwanja 25 kwa 50 kimepimwa kina ofa karibu na shule ya nia njema sekondari, ni kizuri sana kwa kweli. Kinafaa kwa makazi hata biashara. Bei 12 mil, maongezi yapo. Piga 0714 440 141 / 0754 622 121.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.