kabingo
Senior Member
- Oct 16, 2015
- 115
- 118
Nimekuwa msikilizaji wa hawa watangazaji wa kipindi cha asubuhi kkinacho ongozwa na Orest mkambala na mamary Edward,Siku za nyuma walikuwa wawanatangaza na kuchambua mambo kwa umahili mkubwa lakini kadri Uchaguzi unavyosogea ndivyo wanajionyesha kuwa wa wanamapenzi au ni wafuasi was lowasa.Hasa yule Mary amekuwa akionyesha wazi wazi kuwa ni mfuasi was chadema,sio dhambi lakini mjue mnapo kuwa kazini tunasikiliza wenye itikadi tofauti.Mbona Kibwana Dachi ni mhaonyeshi yuko chama gani japo huwa anasema anakadi ya ccm.Acheni mambo hayo mkisoma magazeti Yale yanayomsema vvizuri lowasa mnayapa kipaumbele wakati yanayomhusu Magufuli mnasoma kwa kuponda.