Recent content by Ntenia

  1. Ntenia

    Waziri Mkuu afuta posho kwa watumishi wa umma nchini

    Taarifa ya habari ITV imeeleza very clear kuwa ni posho ambazo hazipo kwenye waraka.. Dsm kuna kitu kinaitwa mpango motisha wa manispaa through that ndo zilikuwa zikilipwa!
  2. Ntenia

    RayVanny: Nitafanya Kolabo na Ali Kiba

    Hivi urafiki ni mpk mfuatane kama kumbikumbi? Kwan nn maana ya urafiki
  3. Ntenia

    Wadada/Wanawake JF wapo!! Verification

    Umeturahisishia wajumbe wapya JF kupata fursa ya kutambua ubavu wetu wa kushoto na kuweza kufanya socialization N njia nzur ya kufahamiana
  4. Ntenia

    Mwanachuo ahukumiwa miaka 30 jela kwa ulawiti

    Akitoka atakupa pipi kijiti elfu 10
  5. Ntenia

    Fikiria ni mkeo halafu unachepuka, nadhani jibu unalo...!

    Sijakaza na ndio maana tumekubaliana na yaishe Uzi huu usibadili maana aliyokusudia mleta uzi [emoji120] [emoji120]
  6. Ntenia

    Fikiria ni mkeo halafu unachepuka, nadhani jibu unalo...!

    Asante kiongozi busara imetumika[emoji106] [emoji106]
  7. Ntenia

    Fikiria ni mkeo halafu unachepuka, nadhani jibu unalo...!

    Usishupae na punguza jazba kiongozi Hilo na mtu mmoja kuchinja lisikupe shida hata mashine siku hizi zinachinja kwa msaada wa(......) Kuhusu mwanamke kuchinja nimegusia ina taratbu zipi #msemo "UBORA WA MTI NI KURUNGE"
  8. Ntenia

    Fikiria ni mkeo halafu unachepuka, nadhani jibu unalo...!

    "Huyu atakuwa muislamu" Naona unakwepa na maada inabadilika Kuna msemo napenda kuutumia "WAKATI MKUFUNZI" [emoji352]
  9. Ntenia

    Fikiria ni mkeo halafu unachepuka, nadhani jibu unalo...!

    Sihitaji malumbano unapoandika ktu tumia basi hata busara na hekima kidogo lengo n kuepusha upotoshaji Kwa upande wa kiislam mpk mwanamke kujinja ni kama vile haiwezekani ni kuna hatua nying sn za kufuatwa mpk afikie kuchija Busara kwanza[emoji40]
  10. Ntenia

    Fikiria ni mkeo halafu unachepuka, nadhani jibu unalo...!

    Taratibu za kiislamu juu ya uchinjaji zipo wazi bora uulize kabla ya kuandika na kupotosha hata hvo pcha inajieleza ni kama anaigiza kuchinja kwan mbuzi hachinjwa na mtu mmoja Tafakari[emoji40]
  11. Ntenia

    Wadada/Wanawake JF wapo!! Verification

    Asante chief kwa Uzi huu n muafaka sn kwa kipindi hichi kwani wengine hatuna muda mrefu humu
  12. Ntenia

    Mganga Mkuu wa wilaya ya Singida awekwa mahabusu baada ya wananchi kuugua kipindupindu

    Tatzo hapa lilikuwa n kutokutoa taarifa mapema kwan inasemekan kulikuwa na wagonjwa wengi tayar na mmoja alishafariki kwahyo alkuwa anafanya isssue ya kupambana na kipindupindu kichinichini
  13. Ntenia

    Ile sketi Aliyoshuka nayo miss Tanzania Kutoka marekani kiboko.

    Pole sn mgogoone Hii kitu imetuathiri sn mbaya zaid anaongea kiswnglish huku akizitengeneza nywele zile za kuvaa kama vile zake za asili.unajiuliza angekuwa na zake halis ndefu kama za kihindi ingekuwaje?
  14. Ntenia

    Ile sketi Aliyoshuka nayo miss Tanzania Kutoka marekani kiboko.

    Huo ni msiba na udhaifu mkubwa wanaoufanya watu maarufu zaid wanatuchefua tu kufikia hatua unaona aibu unaesikiliza[emoji35]
Back
Top Bottom