Fikiria ni mkeo halafu unachepuka, nadhani jibu unalo...!

Sihitaji malumbano unapoandika ktu tumia basi hata busara na hekima kidogo lengo n kuepusha upotoshaji
Kwa upande wa kiislam mpk mwanamke kujinja ni kama vile haiwezekani ni kuna hatua nying sn za kufuatwa mpk afikie kuchija
Busara kwanza
una comments umekaza utafikir wote hum ni waislamu.... au huyo dada kakwambie yeye n islamic au......
 
Naposa mobimba toyembele Nzambe ezali mama tangaka
bible
Wahamiaji haramu hawa
Ndenge nini papaa?

Noleme yango ya mateme pesa moso

Nakobanga nzambe na ngai....

Mobali nangai

Mobimba ya mama.

Chivundu.....

Kamalade ya monzela motema nayo sanduku
 
Siku moja nunua nije nikuchinjie
We sema tu hivyo.
Dada yangu siku alikuwa mbishi kama wewe kwetu kijijini tukampa jogoo alimchinja kwanza akakata shingo yote.
Akawa amesimama ameishikilia kichwa cha kuku huku miguu yake imekanyaga miguu ya jogoo.
Balaaa lake si mchezo, akakimbia na kile kichwa yule jogoo na akakimbilia porini akiwa hana kichwa.
Ikabidi tumkimbize sisi.
Sasa hapa mjini utamkimbiza wewe mwenyewe. Na ulivyo sisiter do mi nitacheka sanaaaaa!!!
 
Nyie naona mnazingua nahamisha kambi Zangalewa Anawa che'el
Awela majoni biggie la majoni Biggie biggie mama zonke ziwe maziji mabuye ala
 
Taratibu za kiislamu juu ya uchinjaji zipo wazi bora uulize kabla ya kuandika na kupotosha hata hvo pcha inajieleza ni kama anaigiza kuchinja kwan mbuzi hachinjwa na mtu mmoja
Tafakari
hiyo picha pia inakataa kuwa ni mwanamke wa kiislam! hajajistiri!
waislam wanachinja na kama ukikosea taratibu nyingine zozote utakuwa umenyonga, sidhani kama muislam angesahahu kujifunika!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom