RayVanny: Nitafanya Kolabo na Ali Kiba

Ni protocal tu kaka. How can You be comfortable and have a good Time with the enemy of your friend?
tusiyafanye maisha kuwa magumu.

Drake na Chris Brown ni maadui wakubwa ila Wizkid wote ni washkaji zake.

Dully Sykes yupo fresh na Ali Pia ni Mshkaji mzuri wa Dimond.

Swala ni kutoingilia ugomvi usiokuhusu maisha ya kistaa ndio yapo hivyo maana hakuna adui wa kudumu.
 
kuna tofauti Kati ya mshkaji na rafiki...
mfano wiz na Chris's brown so marafiki ni washkaji... wiz name drake hivo hivo...
marafiki ni mfano; jelly was rules on hemedphd ,au chriss na tyga... chege name temba...
yani alipo Fulani na Fulani yupo...
ndio urafiki halafu unakuepo kipindi kirefu kiasi kwamba adui was rafiki yako name we we pia adui yako.
 
Hiyo tofauti ya ushkaji na urafiki umeitoa kwenye kamusi gani?!

Kikubwa Kinachosemwa kwenye biashara adui wa rafiki yako anaweza kuwa mshkaji wako na mkafanya biashara.

Kwa wanaume tupo hivyo...Mwanaume wa kweli haingilii ugomvi usiomuhusu hasa ukiwa wa kibishara.
 
Yaani kwenye story za Chris Brown na Drake unamuweka WizKid?
 
king alikiba? kazidiwa kila kitu mpaka instagram followerz [HASHTAG]#diamond[/HASHTAG] ni baba yao bongo fleva wote
Alikiba katoa nyimbo moja kwa mwaka 2016 anatuzo 10+! Huyo msanii wenu wa ujanjaujanja katoa nyimbo karibu 5 zote kashirikisha wasanii ili apate kiki lakini tuzo za mwaka huu hazifiki 10! Fikiria alikiba akiwashirikisha wasanii kama psquare itakuwaje! Viewers YouTube haidetermine ukubwa wa nyimbo alikiba kachukua tuzo nyimbo yake ina 5m viewers na kuwashinda kina wizkid wenye 14m viewers. Mziki mzuri sio janjajanja.
 
Hujui unachoongea wewe... Kwanza hebu taja hizo nyimbo 5 kama sio unataka kutaja alizoshirikishwa na Wasafi!

That's one but two, huyo jamaa yenu anaburuzwa kwenye views hata kwenye ngoma ambazo Diamond anafanya peke yake:
Kiba.png

Mwana ndio ngoma ambayo Kiba aliingia nayo kwa kelele hadi kujipachika u-King badala ya kuacha mashabiki wampe u-King. Pamoja na yote hayo, lakini bado imeburuzwa kwa views hata na Nitampata Wapi ya Diamond!

Unless uwe mlevi ndipo unaweza kuamini, mwezi mmoja waliopishana, Mwana wanaweza kuchukua views zaidi ya 2.5 Million na hatimae kuiacha Nitampata wapi!

Kuna Utanipenda... nayo Diamond kaimba peke yake na kaitoa mwaka ambao Kiba aliiachia Chekecha:

Mondi.png

Ingawaje Utanipenda ilitoka 6 months baada ya kuwa Chekecha kuwa imeshatoka, lakini angalia Chekecha ilivyoburuzwa kwenye views!!!

By the way, unadai Kiba katoa wimbo mmoja mwaka 2016... Lupela unataka kumbambikia nani? Au ni ngoma ya Seven Mosha ile?!

Ikiwa unashindwa jambo dogo kama Kiba amefanya ngoma ngapi mwaka huu ndo utajua tuzo alizopata Diamond wewe?! Na ndio maana umeshindwa hata kutofautisha kati ya Instagram Followers hoja ya uliyem-quote na badala yake umeleta habari za Youtube Viewers as if Instagram Followers na Youtube Viewers ni kitu kile kile!!
 
Hiyo tofauti ya ushkaji na urafiki umeitoa kwenye kamusi gani?!

Kikubwa Kinachosemwa kwenye biashara adui wa rafiki yako anaweza kuwa mshkaji wako na mkafanya biashara.

Kwa wanaume tupo hivyo...Mwanaume wa kweli haingilii ugomvi usiomuhusu hasa ukiwa wa kibishara.
Mwambie huyo Ray afanye hiyo collabo kama hajatimuliwa WCB na domo
 
Hujui unachoongea wewe... Kwanza hebu taja hizo nyimbo 5 kama sio unataka kutaja alizoshirikishwa na Wasafi!

That's one, two, huyo jamaa yenu anaburuzwa kwenye viewers hata kwenye ngoma ambazo Diamond anafanya peke yake:
View attachment 452288

Mwana ndio ngoma ambayo Kiba aliingia nayo kwa makelele hadi kujipachika u-King badala ya kuacha mashabiki wampe u-King lakini hapo imeburuzwa kwa viewers hata na Nitampata Wapi ya Diamond!

Unless mtu uwe mlevi ndipo unaweza kuamini, mwezi mmoja waliopishana, Mwana wanaweza kuchukua viewers zaidi ya 2.5 Million na hatimae kuiacha Nitampata wapi!

Kuna Utanipenda... nayo Diamond kaimba peke yake na kaitoa mwaka ambao Kiba aliachia Chekecha:

View attachment 452289

Ingawaje Utanipenda ilitoka 6 months baada ya kuwa Chekecha imeshatoka, lakini angalia Chekecha ilivyoburuzwa kwenye viewers!!!

By the way, unadai Kiba katoa wimbo mmoja mwaka 2016... Lupela unataka kumbambikia nani? Au ni ngoma ya Seven Mosha ile?!

Ikiwa unashindwa jambo dogo kama Kiba amefanya ngoma ngapi mwaka huu ndo utajua tuzo alizopata Diamond wewe?!
Kiukweli Diamond kuimba live anazingua sana,sauti tofauti na ngoma anayoimba!
 
Nyie watu sijui vipi! Mwenzako kam-quote mtu aliyezungumzia Instagram Followers yeye akaleta habari za Youtube! Wewe una-quote habari za Youtube; unaleta habari za kuimba live!!

By the way, huyo mtalaamu wa kuimba live ni yupi?!
 
Hujui unachoongea wewe... Kwanza hebu taja hizo nyimbo 5 kama sio unataka kutaja alizoshirikishwa na Wasafi!

That's one, two, huyo jamaa yenu anaburuzwa kwenye viewers hata kwenye ngoma ambazo Diamond anafanya peke yake:
View attachment 452288

Mwana ndio ngoma ambayo Kiba aliingia nayo kwa makelele hadi kujipachika u-King badala ya kuacha mashabiki wampe u-King lakini hapo imeburuzwa kwa viewers hata na Nitampata Wapi ya Diamond!

Unless mtu uwe mlevi ndipo unaweza kuamini, mwezi mmoja waliopishana, Mwana wanaweza kuchukua viewers zaidi ya 2.5 Million na hatimae kuiacha Nitampata wapi!

Kuna Utanipenda... nayo Diamond kaimba peke yake na kaitoa mwaka ambao Kiba aliachia Chekecha:

View attachment 452289

Ingawaje Utanipenda ilitoka 6 months baada ya kuwa Chekecha imeshatoka, lakini angalia Chekecha ilivyoburuzwa kwenye viewers!!!

By the way, unadai Kiba katoa wimbo mmoja mwaka 2016... Lupela unataka kumbambikia nani? Au ni ngoma ya Seven Mosha ile?!

Ikiwa unashindwa jambo dogo kama Kiba amefanya ngoma ngapi mwaka huu ndo utajua tuzo alizopata Diamond wewe?! Na ndio maana umeshindwa hata kutofautisha kati ya Instagram Followers hoja ya uliyem-quote na badala yake umeleta habari za Youtube Viewers as if Instagram Followers na Youtube Viewers ni kitu kile kile!!
We jamaa nakuaminiaga kwenye data tu, anayekubishia mchawi
 
Nyie watu sijui vipi! Mwenzako kam-quote mtu aliyezungumzia Instagram Followers yeye akaleta habari za Youtube! Wewe una-quote habari za Youtube; unaleta habari za kuimba live!!

By the way, huyo mtalaamu wa kuimba live ni yupi?!
akikujibu naomba nistue!
 
Hujui unachoongea wewe... Kwanza hebu taja hizo nyimbo 5 kama sio unataka kutaja alizoshirikishwa na Wasafi!

That's one, two, huyo jamaa yenu anaburuzwa kwenye viewers hata kwenye ngoma ambazo Diamond anafanya peke yake:
View attachment 452288

Mwana ndio ngoma ambayo Kiba aliingia nayo kwa makelele hadi kujipachika u-King badala ya kuacha mashabiki wampe u-King lakini hapo imeburuzwa kwa viewers hata na Nitampata Wapi ya Diamond!

Unless mtu uwe mlevi ndipo unaweza kuamini, mwezi mmoja waliopishana, Mwana wanaweza kuchukua viewers zaidi ya 2.5 Million na hatimae kuiacha Nitampata wapi!

Kuna Utanipenda... nayo Diamond kaimba peke yake na kaitoa mwaka ambao Kiba aliachia Chekecha:

View attachment 452289

Ingawaje Utanipenda ilitoka 6 months baada ya kuwa Chekecha imeshatoka, lakini angalia Chekecha ilivyoburuzwa kwenye viewers!!!

By the way, unadai Kiba katoa wimbo mmoja mwaka 2016... Lupela unataka kumbambikia nani? Au ni ngoma ya Seven Mosha ile?!

Ikiwa unashindwa jambo dogo kama Kiba amefanya ngoma ngapi mwaka huu ndo utajua tuzo alizopata Diamond wewe?! Na ndio maana umeshindwa hata kutofautisha kati ya Instagram Followers hoja ya uliyem-quote na badala yake umeleta habari za Youtube Viewers as if Instagram Followers na Youtube Viewers ni kitu kile kile!!
Msameh kaka hyo bdo hajua kitu anafata mkumbo tu...... welll said kiongozi
 
Nikikutana na Alikiba tunaongea na kucheka, ananiambia nafanya kazi nzuri – Rayvanny
Msanii wa muziki kutoka label ya WCB, Rayvanny amefunguka na kuzungumzia mahusiano yake na Alikiba ambaye ni mpinzani mkubwa wa boss wake Diamond Platnumz.
Muimbaji huyo ambaye bado anafanya vizuri na wimbo Salome alioshirikishwa na Diamond, amedai yeye hana tatizo na Alikiba na hata ikitokea nafasi ya kolabo atafanya naye.

“Alikiba huwa nikikutana naye huwa napiga naye stori, tunasalimiana tunacheka, ananiambia kuwa nafanya kazi nzuri, hatujawahi kuongea sana,” Rayvanny alikiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM.

Aliongeza,”Ikitokea siku naweza kufanya naye kolabo kwasababu ‘end of the day’ wote tunafanya muziki ni biashara pia, mashabiki wetu wanapenda kuona ‘combination’ za watu tofauti tofauti, hata nikikutana naye hatufungiani vioo,”

Diamond na Alikiba wamekuwa wenye bifu kwa muda mrefu huku mashabiki katika mitandao ya kijamii wakidaiwa kulichochea bifu hilo zaidi.
Credit - Bongo5
 
kuna tofauti Kati ya mshkaji na rafiki...
mfano wiz na Chris's brown so marafiki ni washkaji... wiz name drake hivo hivo...
marafiki ni mfano; jelly was rules on hemedphd ,au chriss na tyga... chege name temba...
yani alipo Fulani na Fulani yupo...
ndio urafiki halafu unakuepo kipindi kirefu kiasi kwamba adui was rafiki yako name we we pia adui yako.
Hivi urafiki ni mpk mfuatane kama kumbikumbi?
Kwan nn maana ya urafiki
 
Huyo dogo wasafi ye Ndo kichwa hakuna wa kunibishia na mziki wa kiba anauheshimu sana sasa dogo anataka mkali wake kiba msimtishie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom