Kuna herufi ngapi za namba 7 hapo? Ninajua wengi mtafeli kwa swali langu hilo

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
8,234
2,000
52X2=104 + 6=110.

Jibu ni 110.

Ni kwamba letter Z ina saba mbili uki-turn letter Z upside down, jumla ya Z letters ni 52 ukizidisha mara mbili unapata 104 ukiongezea 7 sita ambazo ni independent unapata jumla saba 110 - ambazo ziko dhahili na zilizo kuwa embeded - hayo ndio maoni yangu. I might be wrong.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom