Recent content by ntemi masali

  1. ntemi masali

    Kikwete aliwatukana watanganyika wanaoishi visiwani.

    kwenda zako mkimbizi mkubwa wewe ,mkongoman km wewe ukaitetee tanganyika si itakuwa maajabu ,nyambafuuuuu!!!!!!
  2. ntemi masali

    Warioba:Tumenaliza kazi yetu, Prof Baregu: Rais ametoa vitisho

    .....Yes mr.Warioba,Jaji hana time kujibu gonjera za huyo mtu......chezea Warioba,anasema hayo ni maoni ya ------!hayo ni maoni yake....logical answer.....mie najiuliza hivi akutoa maoni kwenye tume?.mwanbieni muda wa kutoa maoni ulishakwisha!
  3. ntemi masali

    Tanzania, Malawi zashindwa kufikia muafaka juu ya Mgogoro wa Mpaka katika Ziwa Nyasa!

    ....Issue ya lake Nyasa border iko wazi kabisa kuwa mpaka umepita kati kati anayebisha hilo Tanganyika ni inchi APIGWE.....hakuna haja ya maneno mengi RISASI tunazo za kutosha.....
  4. ntemi masali

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

    .....Kardinal Mwanya,sijui alisahau njia ya kwenda kwenye tume ya warioba na kwenda kutoa maoni yake ikulu!....amekosea sana sasa ona jina lakeinavyotumika kisanii.
  5. ntemi masali

    Ukaccm vs ukawa

    UKAWA NAWAAMINI SANA WANALINDWA NA NGUVU YA UMMA WANASEMA NGOJA MJADALA UANZE ,HOJA ZA ------ NI DHAIFU SANA NA ZOTE ZINAJIBIKA KIRAHISI SANA HAZIWEZI KUSHINDANA NA ZA WARIOBA said (UKAWA TEAM)
  6. ntemi masali

    Angalia Kilichopagwa, Kutokea Na Sasa Kinachoendelea Dodoma!! Mungu Tusaidie

    kwa mtazamo tu wa kawaida kabisa hoja zake zote ni dhaifu mno .
  7. ntemi masali

    Twendeni Chalinze waungwana

    chalinze ndo kwetu tupo tupo sana
  8. ntemi masali

    Kinana: Wasaliti CCM wako kumi

    hizi ndio sarakasi za maccm.
  9. ntemi masali

    Kwa hujuma hii ya Polisi Kalenga, Wanachadema wote natuseme!!!

    wewe unaonaje ? Unaona huu ni uji wa ulei?
  10. ntemi masali

    Chopa za CHADEMA zina husiana vipi na uvunjifu wa amani,RPC-Iringa?

    acha upofu wa kujitakia wewe ,kama huwezi kujibu nilichouliza just keep silence ,nieleze chopa na bajaji sio vyombo vya usafiri?
  11. ntemi masali

    Chopa za CHADEMA zina husiana vipi na uvunjifu wa amani,RPC-Iringa?

    Hivi hebu mnisaidie nyie magamba mliokimbilia kwa rpc kushitaki na kumfanya azuie chopa za chadema bila sababu eti zinapiga kelele !! Ebo huu ni ushamba wa rpc na ccm ,lakini kwa wanakalenga ndio usafiri wao waliouzoea, sasa swali kwenu mlioshindwa siasa za jukwaani mnakimbilia polisi .je? Chopa...
  12. ntemi masali

    Tume ya taifa ya uchaguzi;chadema kutumia helkopta siku ya upigaji kura ruksa

    kama chadema hatushindi kwa chopa si mutuache na chopa yetu? Mbona mnachachawa ,wehu nyie?
  13. ntemi masali

    Daftari la mpiga kura kalenga limefanyiwa marekebisho kimya kimya

    hila za kishetani zinazofanywa na ccm kwa kuishinikiza tume kuvuruga utaratibu hazitafanikiwa kamwe .:dance:
  14. ntemi masali

    Bajaj, bodaboda marufuku kuingia katikati ya jiji la Dar es Salaam! Waandamana ofisi za CHADEMA

    waacheni wakutane ma mtetezi wao ,peoplesssss!!!!!!!!!!!!!!
Back
Top Bottom