Twendeni Chalinze waungwana

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Nimefarijika kuona rafiki yangu na Wakili Msomi mwenzangu Nyaronyo Mwita Kicheere akinisihi kupitia makala yake ya ----- kwenda Chalinze. Nimejiuliza vya kutosha juu ya kwanini hasa niende Chalinze na nilikache Bunge la Katiba hapa Dodoma. Nyaronyo amefanikiwa kunishawishi kwenda Chalinze. Naahidi ya kuwa kesho nitasafiri toka hapa Dodoma kwenda Chalinze,mkoani Pwani. Na matokeo ya Kalenga yatanikuta huko huko.

Chalinze patakuwa hapatoshi. Watu wa Pwani ambao wanaonekana kama wakumbatiaji wasiobadilika wa CCM watakuwa na nafasi adimu ya kuuonesha umma wa nchi hii rangi yao sahihi. Watashangilia na kuzomea bila woga kipindi chote cha kampeni. Wako tayari.Tayari kisiasa. Tayari kufa,tayari kupona

Wanawasubiri wanasiasa na sisi wafuatiliaji wa siasa wa nchi hii wafurike Chalinze. Waende kujieleza kwanini wawachague wao na wala si wengine.Waende na sera na si hela. Chalinze ya sasa si ile ya zamani. Chalinze kutakuwa na hoja za haja na vihoja vya kutongoja. Wagombea wote wa vyama vyote vya Chalinze wako tayari na imara. Wameshahika ajenda zao na kuandaa sauti zao kwenda kusikika.

Kwa Chalinze ya sasa niijuayo, ngumu kubashiri. Mchanganyiko wa makabila na kipato cha waishio pale ndivyo vinitishavyo katika utabiri wangu. Siwezi na sitaki kutabiri. Shime twendeni Chalinze.Taarifa tutakazozitoa mitandaoni zikosolewe kwa ushahidi na si vinginevyo.

Torongey namjua.Ridhiwani namjua. Wa CUF namsikia tu. Nani atasema na kuvuna nini Chalinze? Twendeni tukashuhudie. Si uchaguzi wa kubeza pale ambapo mtoto wa Rais anagombea Ubunge. Kukosolewa kwa Mgombea wa aina hiyo ni kukosolewa kwa chama chake na hata familia yake. Nyaronyo amesema:hapatatosha. Hata mimi naamini.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (sasa Dodoma na kuanzia kesho Chalinze)
 
Kutakuwa na jipya tofauti na "desturi na mazoea" ya chaguzi ndogondogo zilizotangulia? Mtoto wa raisi ndo kipimo cha utofauti?
Mimi pia nasubiri kuona kama kutakuwa na mabadiliko katika fikra na mtizamo wa Wana-Chalinze.
 
Nimefarijika kuona rafiki yangu na Wakili Msomi mwenzangu Nyaronyo Mwita Kicheere akinisihi kupitia makala yake ya ----- kwenda Chalinze. Nimejiuliza vya kutosha juu ya kwanini hasa niende Chalinze na nilikache Bunge la Katiba hapa Dodoma. Nyaronyo amefanikiwa kunishawishi kwenda Chalinze. Naahidi ya kuwa kesho nitasafiri toka hapa Dodoma kwenda Chalinze,mkoani Pwani. Na matokeo ya Kalenga yatanikuta huko huko.

Chalinze patakuwa hapatoshi. Watu wa Pwani ambao wanaonekana kama wakumbatiaji wasiobadilika wa CCM watakuwa na nafasi adimu ya kuuonesha umma wa nchi hii rangi yao sahihi. Watashangilia na kuzomea bila woga kipindi chote cha kampeni. Wako tayari.Tayari kisiasa. Tayari kufa,tayari kupona

Wanawasubiri wanasiasa na sisi wafuatiliaji wa siasa wa nchi hii wafurike Chalinze. Waende kujieleza kwanini wawachague wao na wala si wengine.Waende na sera na si hela. Chalinze ya sasa si ile ya zamani. Chalinze kutakuwa na hoja za haja na vihoja vya kutongoja. Wagombea wote wa vyama vyote vya Chalinze wako tayari na imara. Wameshahika ajenda zao na kuandaa sauti zao kwenda kusikika.

Kwa Chalinze ya sasa niijuayo, ngumu kubashiri. Mchanganyiko wa makabila na kipato cha waishio pale ndivyo vinitishavyo katika utabiri wangu. Siwezi na sitaki kutabiri. Shime twendeni Chalinze.Taarifa tutakazozitoa mitandaoni zikosolewe kwa ushahidi na si vinginevyo.

Torongey namjua.Ridhiwani namjua. Wa CUF namsikia tu. Nani atasema na kuvuna nini Chalinze? Twendeni tukashuhudie. Si uchaguzi wa kubeza pale ambapo mtoto wa Rais anagombea Ubunge. Kukosolewa kwa Mgombea wa aina hiyo ni kukosolewa kwa chama chake na hata familia yake. Nyaronyo amesema:hapatatosha. Hata mimi naamini.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (sasa Dodoma na kuanzia kesho Chalinze)

Ebu nipe mtazamo wa matokeo ya Kalenga kufuatia Inteligensia yako Ndani ya Lumumba systems! Je unadhani jamaa watawakataa watoto wa vigogo kama kule Arumeru? Maana Kalenga Chama chako kikishinda sasa hawa watoto wa vigogo watakuwa wamehalalisha uwepo wao kwenye utawala wa nchi hii na sisi watoto wa walala hoi ndo ishakuwa imetoka hivyo. Itakula kwetu milele. Unasemaje mzee Tupatupa
 
Karibu sana.Leo mkutano wa CCM wa ufunguzi umedoda.CHADEMA uzinduzi kesho
 
nipo mwanza kikazi ntaomba ruhusa2 kwa ajili ya kumsikia riz1 akijibu 2huma zinazomkabiri ktk taifa hili baada ya hapo nakamata mwizi mdogo mdogo kwa kuipigia kura chadema coz mimi ni mwanachalinze wa kuzaliwa na mkazi haswa viva cdm
 
Na watu wa haki za binadamu wote nchini twendeni Chalinze,hata kalenga pia twapasa kuwepo.Hii nchi imeoza na yahitaji mabadiliko,haiwezekani kuhalalisha utawala wa kisultani.Watanzania najua wamebadilika na hawataki ila HILA na MATUMIZI MABAYA YA MAMLAKA ndo nguzo ya wasiohitajika.
 
Ebu nipe mtazamo wa matokeo ya Kalenga kufuatia Inteligensia yako Ndani ya Lumumba systems! Je unadhani jamaa watawakataa watoto wa vigogo kama kule Arumeru? Maana Kalenga Chama chako kikishinda sasa hawa watoto wa vigogo watakuwa wamehalalisha uwepo wao kwenye utawala wa nchi hii na sisi watoto wa walala hoi ndo ishakuwa imetoka hivyo. Itakula kwetu milele. Unasemaje mzee Tupatupa

Mkuu Chikaka Sumuni,kama uchakachuaji wa kura utadhibitiwa ipasavyo,CCM hatuna chetu Kalenga. Ripoti za wataalamu wa CCM zinaainisha hivyo. Hadi sasa,CHADEMA inaongoza

Mzee Tupatupa

Last edited by a moderator:
Chadema mtapigwa kipigo cha mbwa mwizi chalinze. Nendeni tu lakini mkajitangaze
 
Nimefarijika kuona rafiki yangu na Wakili Msomi mwenzangu Nyaronyo Mwita Kicheere akinisihi kupitia makala yake ya ----- kwenda Chalinze. Nimejiuliza vya kutosha juu ya kwanini hasa niende Chalinze na nilikache Bunge la Katiba hapa Dodoma. Nyaronyo amefanikiwa kunishawishi kwenda Chalinze. Naahidi ya kuwa kesho nitasafiri toka hapa Dodoma kwenda Chalinze,mkoani Pwani. Na matokeo ya Kalenga yatanikuta huko huko.

Chalinze patakuwa hapatoshi. Watu wa Pwani ambao wanaonekana kama wakumbatiaji wasiobadilika wa CCM watakuwa na nafasi adimu ya kuuonesha umma wa nchi hii rangi yao sahihi. Watashangilia na kuzomea bila woga kipindi chote cha kampeni. Wako tayari.Tayari kisiasa. Tayari kufa,tayari kupona

Wanawasubiri wanasiasa na sisi wafuatiliaji wa siasa wa nchi hii wafurike Chalinze. Waende kujieleza kwanini wawachague wao na wala si wengine.Waende na sera na si hela. Chalinze ya sasa si ile ya zamani. Chalinze kutakuwa na hoja za haja na vihoja vya kutongoja. Wagombea wote wa vyama vyote vya Chalinze wako tayari na imara. Wameshahika ajenda zao na kuandaa sauti zao kwenda kusikika.

Kwa Chalinze ya sasa niijuayo, ngumu kubashiri. Mchanganyiko wa makabila na kipato cha waishio pale ndivyo vinitishavyo katika utabiri wangu. Siwezi na sitaki kutabiri. Shime twendeni Chalinze.Taarifa tutakazozitoa mitandaoni zikosolewe kwa ushahidi na si vinginevyo.

Torongey namjua.Ridhiwani namjua. Wa CUF namsikia tu. Nani atasema na kuvuna nini Chalinze? Twendeni tukashuhudie. Si uchaguzi wa kubeza pale ambapo mtoto wa Rais anagombea Ubunge. Kukosolewa kwa Mgombea wa aina hiyo ni kukosolewa kwa chama chake na hata familia yake. Nyaronyo amesema:hapatatosha. Hata mimi naamini.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (sasa Dodoma na kuanzia kesho Chalinze)
Tutawachapa mboko za mgongo kesho kalenga, tunawafinya sawasawa chalinze
 
Mtaumbuka na vibaraka wenzako. Chalinze sio kaskazini
 
Mkuu Chikaka Sumuni,kama uchakachuaji wa kura utadhibitiwa ipasavyo,CCM hatuna chetu Kalenga. Ripoti za wataalamu wa CCM zinaainisha hivyo. Hadi sasa,CHADEMA inaongoza

Mzee Tupatupa

Mnaongoza kukamatwa mkigawa rushwa, rose kamili, mke halali wa dr slaa ametiwa nguvuni akiwarubuni wananchi kwa fedha za bunge la katiba.
 
Back
Top Bottom