Kikwete aliwatukana watanganyika wanaoishi visiwani.

Kikwete aliwatukana watanganyika wanaoishi visiwani.

tpmazembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
2,469
Reaction score
588
katika kufanya mwafaka wa serikali mbili, kikwete hakuonekana kuguswa na kero za watanganyika wanapoingia ardhi ya znz.Kikwete alijikita kutatua kero za waznz.

madai ya serikali tatu yalilenga kuleta suluhu kubwa sana. wanaoingia znz wanatakiwa kufuata taratibu za znz , nao pia wanaoingia tanganyika walikuwa wakitakiwa kufuata utaratibu maalumu ikiwa ni pamoja na kukaa miaka kumi kabla ya kupata kitambulisho cha utanganyika. bila hivyo ni kuumiza upande mmoja wa muungano.
 
nenda kuzimu na utanganyika wako. tanzania ni mpango wa mungu??
 
nenda kuzimu na utanganyika wako. tanzania ni mpango wa mungu??

Haya ni matatizo ya ulevi wa uji.nga na upofu wa kufikiri. Yani watanzania bara wanaonyanyasika Zandibar ni takataka angali huku bara hawabaguliwi kwa chochote. Tuone huyo Tanzania mnayoilazimisha kama hao wazanzibari wataikubali.
 
teh......teh......teh......teh.......napita kuwasalimia tu, nitarudi baadaye, ngoja nipate chai mara moja.
 
Mkuu wa nchi anapozindua "dimbwi" wakati wa masika!........,mashaka gani haya?

unnamed+(80).jpg
 
Watanganyika wenzangu maadamu hatumdhulumu mtu wala hatuna nia mbaya na mtu basi hitaji hili kamwe halitafifia hata iwe nini! !!!!!

Ni suala la muda tu yote yatatimia,hitaji la mtu halifi kwa maneno ila kutimiza basi tusikate tamaa siku yaja tuombe uzima tu na wao wawepo ili tuwakumbushe!!!!
 
Hiyo ya mkuu wainchi kufunguwa dimbwi imeniacha hoi. Hongera mleta post.
 
Haya ni matatizo ya ulevi wa uji.nga na upofu wa kufikiri. Yani watanzania bara wanaonyanyasika Zandibar ni takataka angali huku bara hawabaguliwi kwa chochote. Tuone huyo Tanzania mnayoilazimisha kama hao wazanzibari wataikubali.

Ukimlazimisha mwanamke katika ndoa mwisho wake atakufanyia umalaya mbele yako, na kama wewe mwanaume RIJARI utampa talaka tatu!!!!
 
Back
Top Bottom