Recent content by Ntelekwa Elisha

  1. Ntelekwa Elisha

    Watanzania ni watu wa ajabu sana!, Wanamwaminije Gwajima kuliko Rais wao?

    Aise haaminiwi MTU ila verification ndo hoja inayotakuwa
  2. Ntelekwa Elisha

    Historia ya Paul Makonda iwasisimue Vijana

    Yy aonyeshe chet ili ijulikane kma Ni awful lkn mtendaj mwenye dhamira nzur kwa taifa
  3. Ntelekwa Elisha

    Tundu Lissu akamatwa akiwa Mahakamani Kisutu, Aandika ujumbe mzito kwa Watanzania

    Pole sana kwa uonevu unatisha sana na wasomi watakuchagua kanuni ya msomi ana personal stand kwahyo hawatayumbishwa Ni vibaraka wasio taka mawazo huru
  4. Ntelekwa Elisha

    Mkewe wa ndoa kachaguliwa kuendelea kidato cha tano akitokea QT

    Viroba vinatumika kwa sili maana Ni haiwezejan kabisa
  5. Ntelekwa Elisha

    Rais Magufuli amteua Bi. Salma Kikwete kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kamshushia hadhi yake labda akaanzishe wama bungen
  6. Ntelekwa Elisha

    Nimempa mimba mke wa mtu lakini kaniambia nisiogope

    We ni zuzu la ukweli hukuwa unawaona mabinti acha watenganishe kichwa na kiwiliwili VP angekuwa mkeo ndo anagegedwa ungefurah
  7. Ntelekwa Elisha

    Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    Habari ya tz kwakuwa na zero hata ayasemayo ni ngumu kuaminika
  8. Ntelekwa Elisha

    Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    Kama itathibitika ujitokeze uandike tena
  9. Ntelekwa Elisha

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Siyo shida kuchelewa kumuanika bado ni muda mwafaka athibitishe ili awe kiongoz ambaye ni the awful RC
  10. Ntelekwa Elisha

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Kanyosha kidole wkt hajasafisha uchafu wake aumbuliwe na ukihyo wake
  11. Ntelekwa Elisha

    Huwezi kuwakomoa watumishi ukategemea ufanisi kazini

    Serikali imewekeza kwenye vikosi so kama cyo member wa vkosi tarajia your pain yet more my pain
  12. Ntelekwa Elisha

    Alichokisema Lissu juu ya kesi ya Wema

    Lengo ilikuwa kuua issue ya benisanane
Back
Top Bottom