Recent content by Ntambaswala

  1. N

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Kwa mwanga safi, mapishi bila moshi..............
  2. N

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari (magazeti) mbadilike

    Hivi sasa nchini kuna zaidi ya magazeti kumi yanatoka kila siku. Lakini ukinunua moja tu utakuwa umesoma magazeti yote kwa habari ya front page. Ni jambo la kushangaza sana inakuwaje magazeti kufanana habari wakati fulani hadi picha. Kuna sababu mbili tu huo upuuzi: Magazeti kuwa na chanzo...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa hujatimiza maono yangu

    Hivi kweli wataka jina lake? Ina maana maono yangu yalikuwa fake? Haiwezekani HE SHALL BE
  4. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke aliyeachika/hajaolewa

    Ndio hao wanatafutwa
  5. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke aliyeachika/hajaolewa

    Najua na wewe ni memba hapa
  6. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke aliyeachika/hajaolewa

    Sana tu anafaa pia
  7. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke aliyeachika/hajaolewa

    Maisha na huyu mke wangu yamenishinda kabisa, ila bado nahitaji mahusiano na mwanamke. Natafuta mwanamke ambaye hana mume kwa sasa umri above 27yrs ili tuanzishe mahusiano, umri wangu ni >27 < 48yrs.........ndoa yangu hii ilifungwa Kiislamu ingawa sasa mimi ni mkristo. Karibu
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe enzi zile za kibanda absalom

    Wenye macho waliyaona haya tangu zamani.............sijui Kibanda ana mtazamo huu hata leo au ilikuwa ''vita vya kambi'' tu
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Huyu Salama Mfamao alikuwa ni balaa.....kachangia sana ...............
  10. N

    JamiiForums Tanzania Wamalawi Waliopo TANZANIA

    Uwezo wao ni mkubwa sababu ya kula aina fulani ya samaki wanaopatikana ziwani
  11. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa hujatimiza maono yangu

    Mhhh kazi kweli kweli. Nataka kubadili mawazo
  12. N

    JamiiForums Tanzania Majambazi sugu watano wauwawa mbeya

    MTANDAO wa Ujambazi nchini hususani Mkoani Mbeya umezidi kusambaratishwa baada ya watu watano wanaodaiwa kuwa ni majambazi kuuawa na Askari wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Diwani Athumani amewaambia Wandishi wa Habari Ofisini kwake kuwa tukio hilo...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Majambazi sugu watano wauwawa mbeya

    AUDIFACE JACKSON - OFFICIAL BLOG: BREAKING NEWSSS : WATU WATANO WANAOSADIKIWA KUWA NI MAJAMBAZI WAUWAWA NA POLISI MKOANI MBEYA
  14. N

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kufika kileleni

    kufika kileleni hakutegemei tour guide peke yake bali pia mpandaji naye ana sehemu kubwa sana ya kufanikisha safari.....
Back
Top Bottom