Recent content by Ntaja

  1. N

    Sakata la Zakaria Hans Pope na CAG

    Ningependa kama tungeongea ana kwa ana au kwa simu
  2. N

    Sakata la Zakaria Hans Pope na CAG

    Ukirudi naomba tuonane. Mie pia Nina mpango wa kufungua kampuni kampuni nayokusudia kufungua naamini haitafanya vizuri bila kushirikiana na watu wanaojihusisha na masuala ya usafirishaji. Ukirudi nitafute kwa namba 0765109287 Tuyajenge
  3. N

    Sakata la Zakaria Hans Pope na CAG

    Kaka! Wewe unaonekana kuwa mtaalamu wa mambo ya usafirishaji. Naomba tutafutane tupeane issue
  4. N

    Sakata la Zakaria Hans Pope na CAG

    Leo kwa sababu kaguswa na Hans ndiyo mmeanza kumtetea Manji?
  5. N

    Paul Makonda afika mahakamani na kumkataa hakimu anayesikiliza kesi yake

    Makonda kataka mwenyewe kuumbuliwa. Acha show iendelee
  6. N

    Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

    Hii issue ya CV ya Makonda as for now ni kichefu chefu kuifuatilia. Ukiwaruhusu watu wakuchimbe, watakuchimba kweli.
Back
Top Bottom