Kaka! Wewe unaonekana kuwa mtaalamu wa mambo ya usafirishaji. Naomba tutafutane tupeane issueMkuu Zacharia Hans Poppe ana Truck zaidi ya 100 Nina kija truck changu kibovu bovu zamani alikuwa ananipatia order ila alipobadilisha utaratibu wa mirage na mafuta kujitegemea nimemkimbia ila hiyo ghorofa na kipato anachopata naona alitakiwa awe Nazi hata 4 Hera nyingi anapoteza Simba