Mara nyingi najiuliza swali juu ya faida ya kusali ni ipi na kwanini watu wanatumia muda mwingi kusali na sio kutafuta mali.
Je, kusali ni lazima iwe katika nyumba za ibada au unaweza kusalia sehemu yoyote na kama unaweza kusalia sehemu yoyote kuna faida gani kukutana katika nyumba za ibada...
Kauli ya Mwanaume Ongea Tu Si Sahihi
Kulingana na matukio mengi ya wanaume kujiondoa uhai na kufanya ukatili kwa wenza wao, watoto, familia na marafiki zao, watu wengi wamekua na muamko wa fikra za kuwahimiza wanaume kuongea na hasa wakitumia familia kama njia kuu ya kupokea hayo maongezi...
Na zaidi pia Haipo Dhana ya Kujiua kwa Makusudi, kila siku ni taharuki na hamaki katika mazingira yanayotuzunguka. Watu wengi wana nadhalia zao na nadhalia hizo huchochea jamii kuishi na taharuki wanayoipata baada ya mtu kujiua au kuua na katika kujiua kuna njia mbalimbali mfano; kujirusha...
Wakati tuko kwenye wimbi kubwa la watanzania na dunia nzima kuathiliwa na magonjwa na changamoto za kisaikolojia au magonjwa ya Akili, bado serikali ya Tanzania haijatengeneza miundombinu ya watanzania kuwa na uwezekano wa kupata huduma na kuwepo na huduma zenyewe.
Hadi sasa idadi ya wagonjwa...
SULUHU LA MAUAJI NA UKATILI TANZANIA
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo kila kukicha kuna tukio jipya la Ukatili au Mauaji au kujiua.
2021 pekee vifo zaidi 470 vya Watanzania chanzo chake ni ukatili na kujuondoa uhai, taarifa waliyochapisha LHRC May 31 2022.
Kuna vitendo zaidi ya 42,414 vya...
Tendo la ndoa ni moja ya kiungo cha muhimu na kikubwa kwa wanandoa au watu waliopo kwenye mahusiano. Kuna vikwazo mbalimbali vinavyoweza kusababisha tendo hili lisifanyike kwa ustadi wa juu au lisifanyike kabisa, moja ya sababu kubwa ni mawazo zaidi ni msongo wa nawazo.
Msongo wa mawazo...
MAHUSIANO YANAVYOATHIRIWA NA MAGONJWA YA HAIBA (PERSONALITY DISORDERS AND RELATIONSHIP)
Habari zenu JamiiForums, hususani jukwaa hili la stories of change. Ni tumaini langu nyote ni wazima
Haiba: Ni urithi au vitu unavyozaliwa navyo na baadhi kutoka kwenye mazingira na kukufanya au kumfanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.