Tendo la ndoa linavyoathiriwa na mawazo

Ntaganda boy

Member
Jan 16, 2016
90
59
Tendo la ndoa ni moja ya kiungo cha muhimu na kikubwa kwa wanandoa au watu waliopo kwenye mahusiano. Kuna vikwazo mbalimbali vinavyoweza kusababisha tendo hili lisifanyike kwa ustadi wa juu au lisifanyike kabisa, moja ya sababu kubwa ni mawazo zaidi ni msongo wa nawazo.

Msongo wa mawazo husababisha hali ya binadamu kukosa msisimko (hashiki) anapokua kwenye maandalizi ya mchezo wenyewe au tendo. Hii hutokea sababu ya ubongo kukosa utulivu juu ya tukio linalotokea kwa wakati huo.

Msongo wa mawazo unasababisha kuwa na viwango vya chini vya homoni za kike na homoni za kiume na kusababisha kupungua kwa hamu ya tendo au mchezo.

Msongo wa mawazo husababisha mwanaume kutokuwa na uwezo wa kuamsha au kusisimua uume wakati wa tendo. Wanaume walioathiriwa na msongo wa mawazo wanakua hawapati raha au msisimko kutoka kwa tendo.
Inajulikana na maumivu ya sehemu ya siri katika jinsia yoyote kabla, wakati au baada ya kujamiiana ambayo husababishwa msongo wa mawazo.

Msongo wa mawazo husababisha ukosefu wa majimaji ukeni kwa mwanamkea (lubrication) anapokua anaandaliwa kwaajili ya tendo.

Matibabu yanayofanywa na watu wengi
Dawa: mabadiliko katika dawa yanaweza kusaidia wanaume na wanawake walio na upungufu wa homoni kufaidika kwa kuongeza wingi wa homoni dawa hizo ziko kwenye mfumo wa vidonge na mafuta. Kwa dawa za wanaume ikiwa ni pamoja na sildenafil (Viagra), tadalafil (Cialis), vardenafil (Levitra, Staxyn) na avanafil (Stendra) inaweza kusaidia kuboresha utendaji wa tendo la ndoa kwa kuongeza mtiririko wa damu kwenye uume.

Mafunzo ya kufanya tendo (Tiba ya kisaikolojia ya tendo la ndoa): Wataalam wa tendo la ndoa wanaweza kusaidia sana wenzi wanaopata shida ya kufanya tendo ambayo haiwezi kushughulikiwa na daktari wa kawaida.

Wataalamu wa tiba mara nyingi huwa washauri wazuri wa ndoa pia. Kwa wenzi ambao wanataka kuanza kufurahiya uhusiano wao wa kimapenzi ni sawa wakati na juhudi kufanya kazi na Mshauri nasihi wa ndoa au wataalamu wa tiba ndoa.
 
Yani dume zima unaongozana na mke wako kwenda kwa dume lingine kuwashauri maswala ya ndoa.

It is not right at all!
 
Ndoa ina mambo memgi
 
Ni mara ngapi imeshindwa kuamka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom