Recent content by ntabhewa

  1. N

    Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi

    Tushaanguka lakin hatutaki kikiri kama tumeanguka ndo maana hatusongi mbele
  2. N

    Late Sedekia kumbe alichukuliwa kimzimu

    "ENYI WAGALATIA MSIO NA AKILI NI NANI ALIYE WALOGA".................... kwani ni watu wangapi wameshakufa wakiwa mbali na nyumbani (safarini,ziarani...), leo Mpendwa wa Mungu kachukuliwa unakuwa na mashaka na kifo chake?!!!! Swali: WE unajua utakufa lini na utkufa kifo gani na mahali gani...
  3. N

    Tahadhari kwa wageni mnaokuja Moshi.

    cjui nikusaidieje umeshindwa kuderiva mada ipasavyo, kwanza umeanza na usafi wa mazingira theni unarukia kwa vimin uhusiano uko wapi hapo?
  4. N

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    mawazo na juhudi madhubuti ndiyo msingi wa maendeleo wa kila binadam,
  5. N

    Natafuta mke wa maisha umri miaka 25-28

    Kwa mtazamo wangu ni bora ukawa unacmamisha unatongoza wenye hzo cfa maeneo unayoishi au unayotembelea, kwa sabab unapata pia na nafasi yakuchunguza mambo yake mengine, kabla yakujicommite kumwoa au la. Ni vizuri kutangaza ni maana utapata wengi wanaosaka nafasi na fulsa kama hzi.,.. Ila kumbuka...
  6. N

    Hata chuo hajaenda ameshaanza kuniletea vihoja na vimbwanga!

    Huu ni wakat wa digital, chenga kdogo2 picha inafutika, tafuta mkwanja utamwoa hata acyekupenda ilimradi ww umtake na yeye ajue una ukwasi! Utaoa na yy akiona amevuna mpunga wakutosha huyooo anasepa au anakuded ili awe owner. So just take care
  7. N

    Mtu asiyejulikana agawa fedha jijini Dar

    Au fedha zetu za hazina ndo katumwa agawie wananchi? Akimaliza kundi la bodaboda, bajaji na abiria may b atahamia maoficn kumwaga mchele, so kaenda kuomba ulinzi ili agawe mkwanja? Basi askari watwambie hyo m2 n nani?
  8. N

    Faida za nyanya chungu

    Mazoezi yanahusika sana, ila vyakula aina ya mimea ni muhimu zaidi kwani kwanza vinasaidia hata kusafisha mfumo wa damu na mentality, hivyo mwili unakuwa stable kwa mambo mengi ikiwemo kazi za kila siku na hata malovedave
  9. N

    Wadada wetu waleo jaman!!

    Unakuta mdada ni rafiki tu, mnawasiliana vizuri eitha kwa simu na hata kutembeleana, cha kushangaza ikitokea mdada akiwa na shida akiomba msaada kwako(hasa pesa) ukimpatia tu, kuanzia cku hiyo utaanza kuona anavyokukwepa kisa eti yuko busy! Akiishiwa yeye ndo wakulaumu eti unamtenga! Wapo wadada...
Back
Top Bottom