Recent content by Nsuri

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ngurumo: Magufuli na “maparoko wake” wana kesi ya kujibu

    Hivi alijuaje habari za huyo mama?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kufuatia kauli ya WHO na maono ya Rais Magufuli kuhusu kuizoea Corona naomba shule na vyuo vifunguliwe

    Wewe labda ni mmiliki wa shule ambaye unaangalia faida tuu au huna mtoto.
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama mkwe ni msumbufu, nimechoka. Nifanyeje?

    Kwanini anawahi kurudi nyumbani? awe anachelewa akute wameshalala
  4. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atoa dola 20,000 kusaidia matibabu ya Ruge Mutahaba mkurugenzi wa CMG

    Mungu amtetee apone mapema. Ila mtoa mada kwanini unashusha pesa yetu dhamani hivyo?? Dola 20,000.00 mbona hazidi milioni 46? hizo million 50 umetoa wapi?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Rotary Dar Marathon(RDM 2018)

    Kumbe mmeshahama kwenye marathon??
  6. N

    JamiiForums Tanzania Rotary Dar Marathon(RDM 2018)

    Hongera kaka. Nilishiriki Bagamoyo half marathon, ilikuwa nzuri sana, aliyemaliza ndani ya muda alipata medal. Sikuona mapungufu mengi na tulianza mapema. Waliokimbia 5km na 10km hawakupata medal. Hata hyo hawakutakiwa kupewa medal wote, wangetoa kwa 21 na 42 km tuu
  7. N

    JamiiForums Tanzania Tangu nimeanza kupiga mazoezi badala ya kupungua naongezeka uzito

    Mkuu unamaanisha huyu jamaa asifanye kazi ingine ni mazoezi tuu?Kumbuka mambo mengine yanatakiwa yaendelee pia. Afanye mazoezi kiasi na control aina ya chakula atapungua tuu.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hivi JWTZ na JKT kazi yao ni nini sasa?

    Yaani wameshindwa hata kuomba msaada nchi jirani? Kama nchi haiwezi kusaidia wananchi wake sehemu kama hizi itakuwaje?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nyumba ndogo rahaaa tupu

    Ugali kama umeoshwa na sabuni? Aisee sili huu ugali, hapo lazima usaidiwe tuu
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini nanunua LUKU halafu nalipia VAT, REA pamoja na EWURA?

    Ni bora ukae kimya kama hujui kitu. Si bora hta unge google upate uelewa?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini nanunua LUKU halafu nalipia VAT, REA pamoja na EWURA?

    Pesa unayokatwa kwenda REA ndo inatumika kupeleka umeme vijijini. EWURA ni regulator wa umeme na maji, hivyo anapata pesa ya kujiendesha kupitia hayo makato.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nauza Gari aina ya Harrier old Model

    Mkuu umeuliza lakini sokoni ni shs ngapi? Hiyo ni bei ya kuagiza Japan harrier used
  13. N

    JamiiForums Tanzania SOLD: Nauza shamba langu Kilimanjaro heka 1.5

    Barabara ya Afrika mashariki inapita wapi hapo?
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu amewasha kibatari chumbani kwetu siku ya tano leo hajazima masaa 24

    Kibatari kinawashwa nyumbani mwako, wewe unakuja huku JF kuomba msaada. Unamuogopa mke wako?kwanini usizime?wewe ni mume wake kweli??Aiseee hizi familia hizi.....
Back
Top Bottom