Recent content by nsuka

  1. N

    JamiiForums Tanzania Meneja wa kampeni UKAWA/CHADEMA hafai, aondolewe mara moja

    Kiukweli Idara ya Habari haina kazi bora ikae pembeni tu.Hata mimi sijaipenda
  2. N

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima amuonya Abdalah Bulembo na CCM waache kumchokoza mara moja!

    Bulembo kama hamjui Gwajima amuulize Dr Cassava
  3. N

    JamiiForums Tanzania Slaa amerejea nchini

    Yule Dr anayeishi Serena Hotel na chakula chake mihogo
  4. N

    JamiiForums Tanzania Slaa amerejea nchini

    Safari hii kafikia Hotel gani Dr wa Mihogo?
  5. N

    JamiiForums Tanzania ACT - Wazalendo Wamnyooshea kidole Zitto!

    Zitto sio Muha bhana tuombe radhi, Muha ni David Kafulila,Moses Machali na Felix Mkosamali.Zitto ni jirani yetu tu
  6. N

    JamiiForums Tanzania Bulembo anafanya vizuri sana timu ya Magufuli

    Mimi sioni ajabu hapo kwa kuwa hata kwenye maandiko matakatifu imeandikwa.Rejea Mnara Wa Babel!
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi waliosambaza Video ya Dr. Slaa akiingia chumbani Serena Hotel wafukuzwa kazi

    Watapewa tu wasubiri tuko majimboni kwanza
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hii ni kali toka kwa Magufuli!

    Sawa nayule aliyesema ataanzisha kilimo cha kisasa cha mibuyu
  9. N

    JamiiForums Tanzania Wanachama bandia Wakamatwa wakielekea Makao Makuu ya CHADEMA; Waandishi wa UHURU na STAR TV wapigwa!

    Jahazi limezama bibi.Umpendae anakabidhi nchi kwa Lowassa ukiwa kichwa chini'usicheze na nguvu ya umma
  10. N

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mwendelezo wa Kampeni za Mgombea Mwenza wa CCM, Samia Suluhu baada ya kuiteka Singida

    Mlishazowea kujipatia kura Dodoma bila hata kampeni sasahivi maji yamewafika shingoni mnaweweseka tu na ahadi za dharau mwisho mtawaahidi kuwaletea kilimo cha kuku
  11. N

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mwendelezo wa Kampeni za Mgombea Mwenza wa CCM, Samia Suluhu baada ya kuiteka Singida

    Nduguyetu Kigaila Benson ana kazi kubwa sana kwahao nduguzake
  12. N

    JamiiForums Tanzania UKAWA tulieni, mbinu watumiazo CCM hizi hapa

    Nawewe kama hauna kitu chakuandika kaa kimya.Aliyekuzuia kuweka wazi ninani?,unatutishia kwa midori?.Dr wa Mihogo amewaambukiza ugonjwa gani nyie?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA ya Wafuasi wa Dr. Slaa Jijini Mwanza

    Nimecheka sana eti Dr wa Mihogo,kuanzia leo ntamtambua kwa hilo jina
  14. N

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Chadema hatuamini kwamba matatizo ya nchi yameletwa na mtu Lowassa ila tunaamini yameletwa namfumo mbovu wa Ccm.Kwahiyo hata iweje lazima tuitoe Ccm kwanza
  15. N

    JamiiForums Tanzania Anna Mghwira ni Zaidi ya Jembe shambani

    Haya tumekusikia
Back
Top Bottom