Bulembo anafanya vizuri sana timu ya Magufuli

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
8,652
Reaction score
2,642
Ameijenga CHADEMA na Lowassa kanda ya Ziwa.

Ziara yote ya Magufuli imeonekana kummaliza zaidi kwao.

UKAWA tunahitaji watu wa aina ya BULEMBO na MWIGULU katika timu ya Magufuli.

Kutochagua maneno ya kusema kwa Magufuli kumempa Lowassa kura nyini kwani kitendo cha kuwatuhumu wana CCM kuwa hawamuungi mkono kingestahili mkutano wa ndani.
 
Ameijenga chadema na lowassa kanda ya ziwa.

Ziara yote ya Magufuli imeonekana kummaliza zaidi kwao.

Ukawa tunahitaji watu wa aina ya BULEMBO na MWIGULU ktk timu ya Magufuli.

Kutochagua maneno ya kusema kwa Magufuli kumempa Lowassa kura nyini kwani kitendo cha kuwatuhumu wanaccm kuwa hawamuungi mkono kingestahili mkutano wa ndani.

Ni kama vile umechanganyikiwa unahitaji kitanda mirembe
 
Mimi sioni ajabu hapo kwa kuwa hata kwenye maandiko matakatifu imeandikwa.Rejea Mnara Wa Babel!
 
Ameijenga CHADEMA na Lowassa kanda ya Ziwa.

Ziara yote ya Magufuli imeonekana kummaliza zaidi kwao.

UKAWA tunahitaji watu wa aina ya BULEMBO na MWIGULU katika timu ya Magufuli.

Kutochagua maneno ya kusema kwa Magufuli kumempa Lowassa kura nyini kwani kitendo cha kuwatuhumu wana CCM kuwa hawamuungi mkono kingestahili mkutano wa ndani.
Pinda atishia kuifuta jumuiya ya wazazi,kwani mzigo kwa ccm.
 
Ni kama vile umechanganyikiwa unahitaji kitanda mirembe

Najua siku zako ni mbaya kila siku kwa kasi ya Lowassa.

Nlikuona Metropole wiki iliyopita ukimparamia mtu kwa sababu ya mawazo ya woga ccm inavyoenda kupigwa chini.

Njoo Sanawari nikupe lunch mchana.

CCM KWAHERI.

Karibu chadema,lowassa
 
CCM imeshikwa vibaya hadi wanatia huruma.Eti"30% za kura zinapatikana jukwaani" Na hizo ndo asilimia zao watakazo pata walahi.Hilo bao la mkono wataishia kujichubua tu
 
Jana mjini Geita kwenye mkutano wa kampeni alipoaanza kutaja ukaskazini wa EL na FTS alizomewa sana ikabidi waweke kibwagizo cha ccm mbele kwa mbele na baada ya hapo hakuongea tena ikabidi JPM apande jukwaani kuhutubia.Kwa sasa watanzania hatutaki hadithi za kusadikika kama za mfalme RAI kwenye hadithi ya Adili na Nduguze,watuambie wamefanya nini na wanataka kufanya nini,au kwa nini mpaka leo kuna kero lukuki,umeme,maji,dawa,madawati,barabara,rushwa,kiukweli habari za EL sio kipaumbele katika kipindi tulichopo.
 
Kamati 32: Kazi yake uzushi, matusi na upotoshaji. Mbinu hizo ndio wanazozitegemea. Hawana cha msingi. Sasa silaha ya mwisho waliyobakiza ni BAO LA mkono. Kumbuka uchaguzi MUUNGANO na Zanzibar 1995?
 
Back
Top Bottom