Askofu Gwajima amuonya Abdalah Bulembo na CCM waache kumchokoza mara moja!

Uzima

Member
Nov 12, 2013
10
6
Amemsisitizia kuwa aache kwani akirudia atamlazimisha awalipue na wale waliomtuma kitu ambacho sio kizuri kwani kitasababisha nchi itikisike na macho yao yatoke moshi wasiamini na kuona pakujishika.

Askofu Gwajima aliwaomba watu wa CCM waliohudhuria ibada yake wampelekee ujumbe huu kumtaka asirudie tena na wao wanaomtuma waache mara moja kwa faida yao kwani wakiendelea watamlazimisha awajibu kwenye madhabahu ya Yehova kitu ambacho sio kizuri kwani kitawasababishia matatizo wao na chama chao.

unaweza kumsikiliza hapa

https://soundcloud.com/peresi-793558715/askofu-gwajima-amuonya-abdalah-bulembo-na-ccm

View attachment 294616
 
Jamaa ana biti hatari akiwa madhabahuni, akiitwa kwa Kamanda Kova, presha ,sukari, kifaduru, pepopu da vyote vinapanda kwa wakati mmoja, Ngoja Tanzania ya Magufuli uone kama utapewa fursa kama aliyopewa na Jk, hawa akina Gwajima watamkumbuka sana Mzee wa Kikwere, Mengi alisema Ikulu inamwandama lakini juzi alikuwepo ikulu kwny uzinduz wa mambo ya Brela kwa njia ya Mtandao na msosi akatupia,
 
Bulembo yupo nyumba ya Vioo...ila najua hatokubali kushindwa atamjibi maana sitaki kuamini hatojibu
 
Askofu jamani tupe vitu maana hii minyangau ya Lumumba Ni shidaaaa imekalia Tu matusi
 
Huyu Gwajima aache kututisha! By the way moja ya kosa kubwa wanalofanya ukawa ni kushirikiana na huyu mtu, Ni hatari!

Kosa lipi wakati tushaamua tunataka mabadiliko,wewe unaona bulembo anachofanya ni sahihi?kazi ya viongozi wa dini ni nini kama sio kuonya?
 
Jamaa ana biti hatari akiwa madhabahuni, akiitwa kwa Kamanda Kova, presha ,sukari, kifaduru, pepopu da vyote vinapanda kwa wakati mmoja, Ngoja Tanzania ya Magufuli uone kama utapewa fursa kama aliyopewa na Jk, hawa akina Gwajima watamkumbuka sana Mzee wa Kikwere, Mengi alisema Ikulu inamwandama lakini juzi alikuwepo ikulu kwny uzinduz wa mambo ya Brela kwa njia ya Mtandao na msosi akatupia,

mkuu umetisha,jamaa akiitwa tu stamina zinakatika
 
Amemsisitizia kuwa aache kwani akirudia atamlazimisha awalipue na wale waliomtuma kitu ambacho sio kizuri kwani kitasababisha nchi itikisike na macho yao yatoke moshi wasiamini na kuona pakujishika. Askofu Gwajima aliwaomba watu wa ccm waliohudhuria ibada yake wampelekee ujumbe huu kumtaka asirudie tena na wao wanaomtuma waache mara moja kwa faida yao kwani wakiendelea watamlazimisha awajibu kwenye madhabahu ya Yehova kitu ambacho sio kizuri kwani kitawasababishia matatizo wao na chama chao
unaweza kumsikiliza hapa

https://soundcloud.com/peresi-793558715/askofu-gwajima-amuonya-abdalah-bulembo-na-ccm

View attachment 294616

Gwajima aache kutishia watu wazima nyau. Askofu atakuwa yeye, aoni maaskofu wapo wametulia na misimamo yao. Askofu gani anapiga dili za kisiasa. Yeye mwenyewe aliamua kujitumbukiza kucheza ngoma ya kisiasa wacha aicheze sasa. Alidhani ni mchezo wa wajinga sijui.
Ndio maana ameanza kupoteza waumini wake. Kwanza aliwatukana na kuwadharau waislam baada ya kuwaambia misikiti yote anataka aigeuze iwe maholi ya kufundishia watoto wa sunday school ya kanisa. Ni dharau mbaya sana kuwahi kutokea kwa waislam. Leo hii anataka kuwachagulia rais wa nchi eti Lowasa chaguo la mungu, anataka aje amsaidie kuwabagua waislam mtu wa namna hii tumuepuke kama ukoma. Aangalie sana watu wanamstahi tuu.
 
Mpiga dili Gwajima aende kwanza kumrudisha mke wa Mbasha. Akimaliza ndio aje sasa kupambana na siasa.
Kashfa ya kumchukua mke wa mtu hajaimaliza leo anataka kuja kujifanya eti mtakatifu. Asubiri Bwana Mbasha anajiandaa kumfungulia mashtaka. Hapo sijui sukari, presha, polio na pepopunda ndio itapanda vizurina kuzuga eti miguu haitembei imejamu.
 
Ukitaka mambo yako yaende sawa nchi hii kuwa mtu wa kuchimba chimba biti, jifanye uko tofauti na mfumo, chochea makundi, utapiga hela za wafuata mkumbo.
 
Back
Top Bottom