Recent content by Nsubhi

  1. Nsubhi

    Riport ya CAG na kikokotoo

    Kwenye report ya CAG imeonekana kuna mabilioni yamepotea kila secta lakini pia kuna mabilioni kwenye mifuko ya jamii wamekopeshana wafanyakazi wa mifuko ya jamii na mabilioni mengine serikali imekopa na haitaki kulipa. Hivyo danadana zote hizi wanajua tatizo liko wapi hivyo wanaangalia mdhaifu...
  2. Nsubhi

    Kigoma: Kisa mgogoro wa ardhi, Kanisa Katoliki laishitaki CCM Mahakamani

    Chama tawala kimekuwa na huu tabia ya kunyang'anya maeneo ya taasisi zingine na kudai ni yao kwa kurudisha umiliki miaka ya nyuma. Hili pia lilijitokeza Geita Shule ya msingi Kalangalala ilipata ufadhilii wa GGM wa kuboreshewa uwanja mwa kuchezea watoto. Walipoona tu mashine zimeanza kufanya...
  3. Nsubhi

    Rais Magufuli pitia upya Sera na mishahara sekta ya madini itanufaisha taifa

    Wakati kikao cha raisi na wadau wa madini kikiendelea. Napenda kumpongeza raii kwa juhudi anazozifanya ili kuona Tanzania ya viwanda, lakini kuna watendaji wake wanamwangusa aidha kwa makusudi au kwa kutojua wanachokifanya. Nimewahi kusikia viongozi wakisema, eti wafanyakazi wa sector binafsi...
  4. Nsubhi

    Upimaji wa ardhi shirikishi Mwanza

    Bora hata ingekua makaburini lakini sasa haieleweki huyu anakuja na hili, akija yule anakuja na lile. Watendaji ni watu wasioeleweka. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Nsubhi

    Upimaji wa ardhi shirikishi Mwanza

    Ndugu waziri wa ardhi(LUKUVI), kumekuwa na kilio cha muda mrefu kwa wakazi wa baadhi ya mitaa ya jiji la Mwanza. Unalo tamko ambalo ulitamka kuhusiana na kurasmisha maeneo yote ambayo siyo rasmi(maeneo ambayo tayari watu walishajenga na wanaishi lakini hayajapimwa), kumekuwa na danadana...
  6. Nsubhi

    Mkeo au mmeo kukwambia unafanya mambo ya kisenge in kwamba kakutukana au kakwambia ukweli?

    Mkeo au mmeo kukwambia unafanya mambo ya kisenge in kwamba kakutukana au kakwambia ukweli? Karibuni kwa maoni
  7. Nsubhi

    Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Hayo ndiyo Mafanikio?
  8. Nsubhi

    Si ajabu kwa CHADEMA kuunda Serikali toka nje

    "Msekule"umemaliza kazi yako kachukue Tshs7000/= Lumumba.
  9. Nsubhi

    Yaani katika yote, hili? Nkamia Acha Utani Bana!

    Nigemshauri, yeye binafsi ageanza kwanza kujiongezea umri wake. Akishindwa basi ajue na hilo analofikiria hawezi.
  10. Nsubhi

    Yaani katika yote, hili? Nkamia Acha Utani Bana!

    Nigemshauri, yeye binafsi ageanza kwanza kujiongezea umri wake. Akishindwa basi ajue na hilo analofikiria hawezi.
  11. Nsubhi

    Yaani katika yote, hili? Nkamia Acha Utani Bana!

    Nigemshauri, yeye binafsi ageanza kwanza kujiongezea umri wake. Akishindwa basi ajue na hilo analofikiria hawezi.
  12. Nsubhi

    Madiwani wa Geita waweka vizuizi lango Kuu la Geita Gold Mine kushinikiza malipo ya kodi ya Huduma

    Musukuma kazuia shughuli za GGM ni kutaka kufifisha hoja iliyoko mezani ya watu wasiojulikana.
  13. Nsubhi

    Hawatafanikiwa kutuchonganisha na RAIS wetu kwa mbinu ya kumuua Tundu Lissu

    "Ukisikia mbwa anabweka ujue kaona kitu".na "ukiona mtu anajishitukia ujue kafanya kitu"
  14. Nsubhi

    Wanachama zaidi ya 860 wa CHADEMA wahamia CCM Arusha leo tarehe 02/09/2017

    Hivi kupigana na mtu aliyefungwa mikono na miguu ni sahihi? Nawauliza watalaam wa haki za binadamu.
Back
Top Bottom