Yaani katika yote, hili? Nkamia Acha Utani Bana!

Yaani katika yote, hili? Nkamia Acha Utani Bana!

Nigemshauri, yeye binafsi ageanza kwanza kujiongezea umri wake. Akishindwa basi ajue na hilo analofikiria hawezi.
 
Nigemshauri, yeye binafsi ageanza kwanza kujiongezea umri wake. Akishindwa basi ajue na hilo analofikiria hawezi.
 
407fdaeea4ed90b46940dda0c7d7bf5b.jpg

Elimu yake magumashi, ina ukakasi!
 
Mkamia kama anaona tunapoteza fedha kwenye uchaguzi mbona haoni tulivyopigwa escrow, epa, rada bae system, makinikia?
 
Imeanza lini kuwa Rais ni sehemu ya Bunge?

Mkuu katiba ndio inatamka ivo. Isome vizuri katiba.


Ila ccm ya kina mwanakijiji na kina mayalla ndio uleta vitu ki utani na kuvipitisha. Maajabu yanaendelea
 
Imeanza lini kuwa Rais ni sehemu ya Bunge?
Mi wakati wananifundisha kipindi hiko chini ya mwembe niliambiwa kuna National assembly na Parliament wakaendelea kwa kusema Raisi ni sehemu ya Parliament lakini sio sehemu ya National assembly, sasa mengine mi sijui na kuhusu waongezewe muda au lah kwa hali ilivyo wakitaka wanafanya tu
 
Japo Nkamia analaumiwa, but he has a point.
Uzoefu wa Mwinyi, Mkapa na Kikwete, imeonyesha rais wa Tanzania hukaa miaka 10. Hivyo uchaguzi wa rais 2020 ni igizo tuu la uchaguzi ambao ni wastage of time, money, and resources
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!
P
Deadly respect!!!!Unajua zaman nilijua ni utaalam wa lugha unaokufanya kujenga hoja chonganishi, nimegundua ndio fikra na upeo wako kuwa na hoja ordinary kwenye critical issue.Nchi hii ina watu wajuzi wa nafsi.Kindly request to fashion your ordinary thinking so as to nourish your dramatic arguments.
 
Kwa akili za Ndugai,anaweza akalilidhia kwa mikono 2.Wabunge wa CCM buana,wakikosa kiki,huja na vitu vya ajabu ajabu.
 
Naona unajaribu kuwa nusunusu. katika maisha hakunaga hiyo.
Its Either your with us or them.

kama moto endelea na sio kujifanya vugu vugu unauma unapuliza.

uliipigia debe serekali basi usikatae tena matendo yake.
[HASHTAG]#ukabila[/HASHTAG] na [HASHTAG]#udini[/HASHTAG] haujawahi kumuacha mtu salama.
 
Back
Top Bottom